Home Search Countries Albums

Gogo Lyrics


Mic 1 ,2 , 1 , 2
Nigga this how we do
Jifanye unanigusa watakuharibu
Majungu sio wazuri watakuharibu
Cheki cheki tu nigga this how we do

Natimba hadi Brazil na wanangu
Yeah what’s up boo, Usijifanye hunijui
Wanataka kuniona mi niko zangu Kino
Chafu tatu janangu hatuendi Casino

Napiga mambo flani Hashpapi ashipinho
Napamba za mandarinho huko kote nimo
Hawa watoto wakiniona shoot moko imo
Usiwe na wasi wasi mi niko na nimo

Kuna tofauti kubwa ya baba na daddy
Kuna tofauti kubwa ya mama na mumy (Say whaaat)
Hata usiwaze kunitafuta majungu you will find me ( 41 Yeah)
Na nilivyokua high utasema rubani (High high)
Haters wako huh unacheka na nani
Mtoto anakula ndizi huyu utasema nyani
Pow Pow Pow Pow

Gogo yeah man I ride solo
Gogo please don’t call me tomorrow
Gogo naanza wao they gonna follow
Gogo leta shobo ulambe lolo 

Gogo yeah man I ride solo
Gogo please don’t call me tomorrow
Gogo naanza wao they gonna follow
Gogo leta shobo ulambe lolo 

Wanakuja Masaki kupiga picha
Halafu baadae wanapost Insta
Nyie madogo mnavisa
Mi nakaa Masaki na sijawahi kupiga picha 
Flash flash flash

Wanajifanya wana nyuma wanakung’onga
Sitaki hata salaam zenu ukiniona
Stay away from me baby usinipe Corona
Fuck it maan ndio maana hat siongei now

Niko Chasosa Pub na Joe Masao
Otty Jackson anamjua mwanao
Njoo na mademu zako wana waondoke nao
Your fav rapper nani fav rapper nani( Mtaje)

Em sh!t you’re doing now I did 10 years ago
Nyie watoto wangu wote ndio mnageza flow
They call me Gosby if you didn’t know
Na hivyo ndivyo ilivyo hivyo hivyo

Gogo yeah man I ride solo
Gogo please don’t call me tomorrow
Gogo naanza wao they gonna follow
Gogo leta shobo ulambe lolo

Gogo yeah man I ride solo
Gogo please don’t call me tomorrow
Gogo naanza wao they gonna follow
Gogo leta shobo ulambe lolo  

Sh!t is too easy dawg, like 1, 2 , 3 , 4 , 5
Reporting to you live from 255
It’s your boy G O S B Y, Gosby Baby
Swaghili Nation, we here now
They tryna put me in a box
But I’m here Eternal Entertainment huh!!!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Gogo (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

GOSBY

Tanzania

Gosby is a rapper/artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE