Changes Lyrics
Rj The Dj allday baby
(Amy)
Kuna kupata kukosa
Yote mipango ya Maulana
Ya leo si ya jana
Hey usitabiri kesho
Kwa mvua ilionyesha leo
Huenda alikuwa mwizi
Kesho anaweza kuwa mjenzi
Mabadiliko yake
Yameanza na yeye mwenyewe
Je? Je? Aaah aah
Mabadiliko, mabadiliko oo
Wewe
Je? Je? Aaah aah
Mabadiliko, mabadiliko oo
Wewe
Vile nilivyo ndo vivyo hivyo niko real
Nasijawahi change
Hata kwa mshiko kwa kitu sifeel
Sihitaji friends wa ovyo ovyo
Au mpenzi mshenzi
Mwenye shobo na Benz au Fendi
No no no ila trend sipendi
Kifofo kibenda bend mi ni che
Alenge njevi
Mnyamwezi
Ukiwa mshenzi achange hadi logo
Je? Je? Aaah aah
Mabadiliko, mabadiliko oo
Wewe
Je? Je? Aaah aah
Mabadiliko, mabadiliko oo
Wewe
Kwenye maisha kuna kitu kimoja ambacho
Wengi wetu tunaweza tukawa tunakifahamu
Ama hatukifahamu, mabadiliko
Mara nyingi mabadiliko ya mtu
Huanza na mtu mwenyewe
Na si mtu mpaka akubadilishe
Ni kiasi cha wewe na nafsi yako kukubaliana
Tubadilike, tubadilike
Mabadiliko yake yameanza
Na yeye mwenyewe
Je? Je?
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Changes Album (Album)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
RJ THE DJ
Tanzania
Romy Jones aka Rj The Dj is an artist, WCB vice president, Diamond Platnumz official Dj/ Wasaf ...
YOU MAY ALSO LIKE