Ipo Siku Lyrics
Hummm aiyaya aah
Ni mbali nimetoka tena ni ajabu kua hai
Maana nigeshakufaagaa
Ni mengi nimeonaa aah
Tena ya kuvunja moyo
labda ningeshakuacha mungu uuh
Ohhh kama ni misongo ya mawazo maah
Nimepitiaa ninazoeaaa
Maumivu ya kudharauliwa umasikini
Kila sikuu mi najipa moyo ooh humm
Ipo siku yangu tu… Ipo si siku uuh
Ipo siku yangu tu nami
Ni ba ni ba nibarikikiwe
Ipo siku yangu tu… Ipo si siku uuh
Ipo siku yangu tu nami
Ni ba ni ba nibarikikiwe
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Aah nibari kiwe (nibarikiwe)
Oohh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Nibarikiwe ni ba ni ba (nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Aah nibari kiwe (nibarikiwe)
Oohh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Nibarikiwe ni ba ni ba (nibarikiwe)
Ahh oohhuu naona aah huumm
Aiyayaya aiyaya aiyaya hummm
Ingawa kwa sasa wananisema
Vibaya nami sishangai najua
Ni ya wanadamu hay oohh
Ingawa sipati na nikwa
Muda mrefu siachi kuomba mungu
Si kiziwii binadamu
Wema ukiwa nacho ooh
Kwa sasa waniepuka sina rafiki wa dhatii
Oohh kama ni misongo ya mawazo
Magonjwa maa
Nimepitia nimezoe aah
Maumivu ya kudharauliwa umasikini kila sikuuu
Mi naipa moyo ooh humm
Ipo siku yangu tu… Ipo si siku uuh
Ipo siku yangu tu nami
Ni ba ni ba nibarikikiwe
Ipo siku yangu tu… Ipo si siku uuh
Ipo siku yangu tu nami
Ni ba ni ba nibarikikiwe
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Aah nibari kiwe (nibarikiwe)
Oohh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Nibarikiwe ni ba ni ba (nibarikiwe)
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Aah nibari kiwe (nibarikiwe)
Oohh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Nibarikiwe ni ba ni ba (nibarikiwe)
Ahh oohhuu naona aah huumm
Aiyayaya aiyaya aiyaya hummm
Miaka imepita umeonba mtoto hupatii
Vuta subira maana yeye hachelewi iih
Ona biashara imeandamwa
Mikosi hupati usimwache
Mungu waganga watakuponza
Mpo kwa ndoa ila nyumbani Amani
Hakuna msimwache mungu
Mchepuko sio jibu
Umeugua tumaini la kupona
Hakuna usimtazame mwanadamu
Siku yako imekaribia aah
Yeyi iih najua aiyaya
Najua aiyaya
Najua aiyaya
Ipo ooh
Misukosuko ya ndoa (ni yang utu)
Mtoto anakusumbua (usiku uuh)
Giza likingia unawaza wapi utalala
Ni ba ni ba nibarikiwe
Masimango mashemeji ati huza mtoto
Masimango mama wa kambo
Umemchosha nyumbani
Usiwaze usiume najua yote yatapita
Siku imekaribia najua yote yatapita
Nawe ubarikiwe aah ubarikiwe
Nawe ubarikiwe
Nawe ubarikiwe aah ubarikiwe
Nawe ubarikiwe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Ipo Siku (Album)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
GOODLUCK GOZBERT
Tanzania
Goodluck Gozbert is a Bongo Gospel Artist/Singer from Tanzania ...
YOU MAY ALSO LIKE