KIKI NI GIGY Lyrics
Money !
Riiiiiiiiiiiiiii raaaaaaaaaa !
Mapaparazi
Simu zenu sipokei
Hakuna jipya nishamwaga Mo J ( Riiiiiiiii Raaaaa !)
Mmemiss kipi
Kwangu vingi havipotei
Gigi Msando ngome kwa
Mjumbe sichelewi
Instagram Yake !
Kiki nazi pia zake
Waliomo hawavumi
Ma-sponser nao pia wake
Me ndo kombe mnaoshinda na kwenye ligi
Niite mama maira A.K.A GIGI
Miaka Buku Hamtoweza hili rumba !
Najiamini nina nyota ya mavumba
Hata upige ndele mi kwangu utadunda
Sishi-ndani nawa-toto-walo-chunda
Wape kiki wape
Watetemeshe kidogo
Wape kiki wachangamshe ubongo
Wape watetemeshe kidogo
Wape kiki wachangamshe ubongo
Gigi ni kiki
Kiki ni Gigi Gigi Yaah
Gigi ni kiki
Kiki ni Gigi Yi iii Gigi ni gigi
Mhuuu Gigi ni kiki Ye eh… Gigi ni kiki ni Gigi eeee…
Nawasumbua mtaani (Gigi Gigi Gigi Gigi)
Wanataka pima Mizani (Gigi Gigi Gigi Gigi)
Uzito wa mambo kichwani (Gigi Gigi Gigi Gigi)
Washapotea kwa ramani (Gigi Gigi Gigi Gigi)
Ndio before nimelala
Ila waulize tukienda kulala
Namiliki mchezo tawala
Bifu na mimi utaonekana fala
Niwaue nijishaue
Bana-beta Wakijikweza nikisanue (Riiiii raaaaa!)
Miaka buku hamtoweza hili rumba !
Najiamini
Nina nyota ya ma vumba
Hata upige ndele mi kwangu utadunda
Sishi-ndani Nawa-toto walo-chunda
Wape kiki wape
Watetemeshe kidogo
Wape kiki
Wachangamshe ubongo
Wape watetemeshe kidogo
Wape kiki wachangamshe ubongo
Gigi ni kiki
Kiki ni gigi gigi Yaaah !
Gigi ni kiki kiki kiki kiki
Kiki ni gigi … Yi iii… Gigi ni gigi
Mhuuu Gigi ni kiki ye eh… Gigi kiki ni gigi eeee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Kiki Ni Gigy (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE