Home Search Countries Albums

Sina Haja

FEMI ONE Feat. SANAIPEI TANDE

Sina Haja Lyrics


Sina haja mi sina haja mi
Sina haja mi sina haja mi
Sina haja mi sina haja mi
(Kaka empire is the lifestyle)

Sina haja mi sina haja mi (Mi mi mi)
Sina haja mi sina haja mi (Mi mi mi)
Sina haja mi sina haja mi (Mi mi mi)
(Bern Music)

Mbleina amedunge earphones kwa klabu
Pia inashika ju ya sina taabu
Life nakula kwa sinia na adabu
Unataka leo nilewe nikuambie "I LOVE YOU"

Nikiwa sober ndo nina maringo na ego
Ndio maana nyi hushindwa mbona mi hushidanga single
Mi humingle lakini roho yangu hauwezi dingo
Huwa simple lakini kupenda mtu si simple

Diva kimwili gangster kiroho
Hii Nairobi inafanyaga nifiche mafilo
Hawa ma man wanaweza kufanya fanya
Wanama wakipuliza vako kipanya panya

Sina haja mi, sina haja mi 
Sina haja mi nimekaza moyo
Mniite fiti solo

Sina haja mi, sina haja mi 
Sina haja mi nimekaza moyo
Mniite fiti solo

Confessions niliachia mafala
Oops I mean confession niliachia mafather
Hii roho sifungui ata ukija na master
Hio shine hainishtui hata ukipaka mafuta

Ju ka ni doh niko nayo kwa wingi
Labda uniroge na zile madumba za Mwingi
Na sina bei na ingekuwa bado hamfiki
Ukinikatia nakuweka kwa zone ya kirafiki

Diva kimwili gangster kiroho
Hii Nairobi inafanyaga nifiche mafilo
Hawa ma man wanaweza kufanya fanya
Wanama wakipuliza vako kipanya panya

Sina haja mi, sina haja mi 
Sina haja mi nimekaza moyo
Mniite fiti solo

Sina haja mi, sina haja mi 
Sina haja mi nimekaza moyo
Mniite fiti solo

Femi amesema yote
Sanaipei wacha pia mi nichochwe
Itakuwaje unadunga unatupa 
Alafu mi nibaki miguu wazi nikikupa

You must be outa go mind
To think that you can handle my kind
One state do I shy
Ukichoma mara once middle finge to you bye bye

Sina haja mi, sina haja mi 
Sina haja mi nimekaza moyo
Mniite fiti solo

Sina haja mi, sina haja mi 
Sina haja mi nimekaza moyo
Mniite fiti solo

Sina haja mi sina haja mi
Sina haja mi sina haja mi
Sina haja mi sina haja mi

Niite fiti solo, niite fiti solo
Niite fiti solo, niite fiti solo
Niite fiti solo, niite fiti solo
Niite fiti solo, niite fiti solo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Greatness (Album)


Copyright : (c) 2021 Kaka Empire.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

FEMI ONE

Kenya

Shiko Femi One real name Wanjiku Kimani (born 25th April, 1994) is a performing and r ...

YOU MAY ALSO LIKE