Makosa (Refix) Lyrics

Mbona kunifuata mimi na nyumbani umemuacha wako bibi
Sikatai mtu sina mimi lakini tayari una jiko
Tuambiane ukweli ombi lako siwezi
Anakupenda anakudhamini kwanini unataka asikudhamini
Unafanya bure nenda utulie
Kazi pesa unayo familia nzuri unayo we
Kwa hivyo hii ni makosa wee bwana
Unafanya makosa wee bwana
Wataka kujiua bure bwana
Utakosa ubaki bure bwana
Mimi si wako, na wewe si wangu
Penzi la nini kati yangu mi na wewe
Mimi si wako, na wewe si wangu
Penzi la nini kati yangu mi na wewe
Anasa baby kukupenda
Nawe wataka kumtenda
Hakuna utu ndani yako
Hawezi taka toka kwako
Usikubali akuache wewe
Rudi nyumbani ukamuone
Mimi sitaki pole
Usinifuate mimi
Nenda utulie brother man
Rudi kwako weka money
Ati mapenzi kitu gani
Sikuhitaji mimi
Kwa hivyo hii ni makosa wee bwana
Unafanya makosa wee bwana
Wataka kujiua bure bwana
Utakosa ubaki bure bwana
Mimi si wako, na wewe si wangu
Penzi la nini kati yangu mi na wewe
Mimi si wako, na wewe si wangu
Penzi la nini kati yangu mi na wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Makosa (Refix) (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE