Makosa Lyrics
Mbona kunifuata mimi na nyumbani umemwacha wako bibi.
Sikatai mtu sina mimi lakini tayari una jiko.
Tuambiane ukweli, ombi lako siwezi.
Anakupenda anakuthamini kwanini unataka sikuamini.
Unafanya bure nenda utulie.
Kazi pesa unayo familia nzuri unayo wee.
Kwa hivo hii ni makosa wee bwanaa.
Unafanya makosa wee bwanaa.
Wataka kujiua bure bwanaa.
Utakosa ubaki bure bwanaa.
Mimi si wako, nawe si wangu,
Mapenzi ya nini kati yangu mimi na wewe
Mimi si wako, nawe si wangu,
Mapenzi ya nini kati yangu mimi na wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Makosa (Single)
Added By : joshua kivuio
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE