Ma Feelings Lyrics
I like when you say that
I like it when you sober
I love the way you pull me closer
Ni mimi wako mmoja
Sijachoka kungoja
Baby you're the one nimeona
Bila wewe sijapona
Am sick for your love and you are the dose
Am sick for the way you drive me crazy
Mpenzi it's you I wanna know
Darling it's you I wanna be with
Ni mimi tu nimejaribu kukupenda
I feel so new
Umenifanya chizi nakufeel, mpenzi niamini
Niko na mafeelings na si chill
Nifanye nini mimi
Umenifanya chizi mpenzi niamini
Hizi ni ma feelings
Umenifanya chizi nakufeel, mpenzi niamini
Niko na mafeelings na si chill
Nifanye nini mimi
Umenifanya chizi mpenzi niamini
Hizi ni ma feelings
Njoo unibembeleze
Njoo unitengeneze
Unanipa mawenge
Unaniweka mbele
I wanna call you baby
I wanna be your lady
Najua sibahatishi, bila we siponi
Am sick for your love and you are the dose
Am sick for the way you drive me crazy
Mpenzi it's you I wanna know
Darling it's you I wanna be with
Ni mimi tu nimejaribu kukupenda
I feel so new
Umenifanya chizi nakufeel, mpenzi niamini
Niko na mafeelings na si chill
Nifanye nini mimi
Umenifanya chizi mpenzi niamini
Hizi ni ma feelings
Umenifanya chizi nakufeel, mpenzi niamini
Niko na mafeelings na si chill
Nifanye nini mimi
Umenifanya chizi mpenzi niamini
Hizi ni ma feelings
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Ma Feelings (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE