Drugs Lyrics
Ooh yeah yeah, ooh yeah yeah yeah
(It's Byron baby)
Kila time sisi tuko irie
Kazi yote hii ni matire
Baby basi nipe lighter tukiwashe
Ama basi jam tushikishe
Demma see a gangster need a peaceful girl
Tukiwa mashasha this is peaceful love
Leo jungle hut pila peaceful aah
Tukiwanga sober si hubishana
Vile imenishika inataka drugs
Hii mapenzi inataka drugs
Na vile umenishika inataka drugs
Hii mapenzi inataka drugs
Vile imenishika inataka drugs
Hii mapenzi inataka drugs
Na vile umenishika inataka drugs
Hii mapenzi inataka drugs
For long I've been searching
Nimetafuta a rasta woman
Nimekuwa hustling nimempata
Na tunaendana
Wakibonga nyako tunawasha ngwai, eeh washa ngwai
Wengine wanakuwa eti wanakudai, eeh wanakudai
Zetu zimeraruaka naona tu mathai eh tu mathai
Zafanya naeza ruka juu ka masai, ej ka masai
Demma see a gangster need a peaceful girl
Tukiwa mashasha this is peaceful love
Leo jungle hut pila peaceful aah
Tukiwanga sober si hubishana
Vile imenishika inataka drugs
Hii mapenzi inataka drugs
Na vile umenishika inataka drugs
Hii mapenzi inataka drugs
Vile imenishika inataka drugs
Hii mapenzi inataka drugs
Na vile umenishika inataka drugs
Hii mapenzi inataka drugs
Na unaniseti bomb tufanye kama taliban
Naenda niseti ndom tufanye kama Hadijah
Zikishika zangu si tushikane
Mapenzi ni athuthu si tukumbane
Mapenzi ni keroma si tukulane
Tumekwama mbuzi si tu--
I need a Gedion Boot and a Khaki suit
Na katoto kako tu
Na kidimba tu nikiwa matings
Naeza taka unipende tu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Movement Vol. 1 (Album)
Copyright : (c) 2021 Black Market Records
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
EXRAY
Kenya
Exray aka X Ray or Taniua real name Tony Kinyanjui is an artist from Kenya. A member of th ...
YOU MAY ALSO LIKE