Doshi Ngumu Lyrics
Cheza na pongi wewe
Nimekubali daily
Gashugwa kuja nikufanye machungwa
Ah taniua,...mmmh mmmh mmh
(It's Byron baby)
Mrembo si unakaa tu fine
Leta leta nataka ushine
Niko na kidoshi kiko fine
Na pia kiko easy mi nashuku utanichai
Fathela si unakaa tu fine
Leta tenje nikuweke fine
Unaniconfuse unanifanya nikuwe shy
Hapa nimetii hadi nashindwa ka ni chai
Ah ulisema unataka doshi ngumu ama
Unataka nono ama konde ama
Unataka yoh ama holy ama
Majirani hapa watahama
- nieke hapa na maisha ngumu ama
Unataka mnono ama mkonde
Unataka zuzu ama chopi ama
Majirani hapa watahama
-- like a dinner dinner
You take me out inna Bima Bima
Me take your heart make --
-- like a dope in your bloodline
You fell in love with a criminal
---????
Chuma unajua huskii inaitisha ganja
Ganja ooh ganja, ganja oh blunder
Huskii inaitisha hadi ganja
Ah ulisema unataka doshi ngumu ama
Unataka nono ama konde ama
Unataka yoh ama holy ama
Majirani hapa watahama
- nieke hapa na maisha ngumu ama
Unataka mnono ama mkonde
Unataka zuzu ama chopi ama
Majirani hapa watahama
We ni doctor love unataka vaccine
Ju place tunaimake fck scene
Vile utaniua afisa ni crime scene
Zimenirarukia nimemeza taxin
Shit niko billy blanks
Nimeanza -- ju hujaizima bar
Niko na swali ushaiiba bank?
Una act home sana nika mi ni rag
Sina keja biggy hata huskii tunaishi single
Hadi chritmas mi sinanga wa kujingle
Nilibuy gari but huskii sinanga jiko
Sikulangi pia viazi so siwezi kuchipo
Chuma unajua huskii inaitisha ganja
Ganja ooh ganja, ganja oh blunder
Huskii inaitisha hadi ganja
Ah ulisema unataka doshi ngumu ama
Unataka nono ama konde ama
Unataka yoh ama holy ama
Majirani hapa watahama
- nieke hapa na maisha ngumu ama
Unataka mnono ama mkonde
Unataka zuzu ama chopi ama
Majirani hapa watahama
Cheza na pongi wewe
Nimekubali daily
Gashugwa kuja nikufanye machungwa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Movement Vol. 1 (Album)
Copyright : (c) 2021 Black Market Records
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
EXRAY
Kenya
Exray aka X Ray or Taniua real name Tony Kinyanjui is an artist from Kenya. A member of th ...
YOU MAY ALSO LIKE