Bwana Yesu Lyrics

Bwana Yesu! Bwana Yesu
Kimbilio langu, ni wewe Baba
Tumaini langu, liko kwako Yaweh
Mimi sina uwezo, sina Bwana mwingine ila wewe
Mimi sina uwezo, sina Bwana mwingine ila wewe
Wewe ndiwe Baba yangu
Msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu
Msaada wangu wa karibu
Haleluya
Haleluya Baba
Ulinifia mwokozi wangu
Dhambi zangu zote ukaziosha
Sijapata mwingine
Dunia yote kama wewe yahweh
Sijapata mwingine
Dunia yote kama wewe yahweh
Wewe ndiwe Baba yangu
Msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu
Msaada wangu wa karibu
Nakuinua, nakuinua
Milele na milele, nitakuimbia
Kwa yale umenitendea Baba nakusifu
Milele na milele, milele daima Bwana wangu
Milele na milele, milele daima Bwana wangu we
Wewe ndiwe Baba yangu
Msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe baba yangu
Msaada wangu wa karibu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Bwana Yesu (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE