Zaidi Na Zaidi Lyrics
Mungu wangu, mungu wa neno
Mungu wangu, mungu wa agano
Uwa kweli na wewe ni ngao
Haujafeli na usemalo ndilo
[CHORUS]
Niongoze upendavyo
Nitembee juu ya maji
Nifinyange mi udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi
Imani yangu roho wa mungu
Waniita nimesikia
Nakusongea we wanisongea (oooh)
Ninakutafuta we wanitosha (heeh)
[CHORUS]
Niongoze upendavyo
Nitembee juu ya maji
Nifinyange mi udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi
Oooh nikujuwe
Zaidi na zaidi na zaidi
Heeeh nikujuwe
Zaidi na zaidi na zaidi
Unizamishe ndani yakooo
Nipungue uongezee
Nizamishe ndani yakooo
Nipungue nisionekane
[CHORUS]
Niongoze upendavyo (halleluyah)
Nitembee juu ya maji
Nifinyange mi udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi
Oooh niongozeeee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Zaidi Na Zaidi (Single)
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE