Home Search Countries Albums

Kuja Lyrics


Aahh
Shanty
Namba Nane Yoh
The living life of blame
Their life is just for chase
Na wote wame fail (Kwa game wasake train)

Kuja kuja wacha kuogopa nani
Kuja kuja mbona unahema nani
Kuja kuja ntakuonyesha mi nani
Kuja kuja wacha kuenda nani
Kuja kuja wacha kuogopa nani
Kuja kuja mbona unahema nani
Kuja kuja ntakuonyesha mi nani
Kuja kuja wacha kuenda nani

Yooh nothing was there kwa game
Shanty akikam tu hapa kwa game
Awa marapper ni same
Daily riba ilikuwa ni shame nothing was popping
People were forging khali alibaki alone
Shanty kukam mafans kuwatoka sai wanabonga za oooh
Mi si ogopi ka una mbogi tafuta lorry nikupe manoti
Mi si mchache nakuanga janjez
Bana kutoka zama mi ni champe
Tuko mboka and we don’t play kahuna pesa kakope
Uwezi nieka kwa compe kanairo bado mi ndo topic
Itabidi muogope Juu hapa nakuja kizombie
Nakupa kiki kabonge nikuache kwa giza hunioni
Harakisha naujabadilisha ebu pita hapa ndio uende
Vile unatanga tanga na ujajipanga  Minta kata huzo mapembe  
Chunga venye unakuja Mablainer miwanga nachuja
Naenda far cheki ndula mistari zimejaa medulla
Kakamba si nimewafunga nawachenga kama futa  
Cheki wananitafuta (kwa game wasake train)

Kuja kuja wacha kuogopa nani
Kuja kuja mbona unahema nani
Kuja kuja ntakuonyesha mi nani
Kuja kuja wacha kuenda nani
Kuja kuja wacha kuogopa nani
Kuja kuja mbona unahema nani
Kuja kuja ntakuonyesha mi nani
Kuja kuja wacha kuenda nani

Natetemesha ka rao ma odi si hukunja ma trao
Wangapi wanajinauwo Wakuje wabanje kwa grao
Nawapa vidonge vyao kenye watafanya shauri yao
Nilikuwa tu ndirao mafans wakauliza ni hao
Hawa mafala waende Buda kwa game minataka niwa bebe
Walidoze walikula mchele wale mafala nawapa mawele
Kakadum kikipima go dede negiba thogi to koro to ere
Kaka obirono to ng’ato to kwere
Shanty ni dawa ya kimbele mbele  
Wananenda juu mimi ninakuja simba na nimetoa tu makucha
Kani beef mi huzipata kwa butcher ka ni biz nionyeshe mafuta
Nipe location ni wapi nakuja Niko kwa highway nika niko juja
Saka hio Mulla shika hio ndula nimefika wakahepa ni mbuga
You’re listening to the best kelele wachia the rest
Warazi bado nawakain Mali safi iende chain
Bado minajenga hay sijali kitu mnasay
No pain no gain kungangana kuskika kwa game  

Kuja kuja wacha kuogopa nani
Kuja kuja mbona unahema nani
Kuja kuja ntakuonyesha mi nani
Kuja kuja wacha kuenda nani  
Kuja kuja wacha kuogopa nani
Kuja kuja mbona unahema nani
Kuja kuja ntakuonyesha mi nani
Kuja kuja wacha kuenda nani

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Kuja (Single)


Copyright : ©2021 Hitbox Africa Entertainment. All rights reserved.


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

SHANTY FLAMES

Kenya

Shanty Flames is an artist from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE