Home Search Countries Albums

I swear

ENOCK BELLA

I swear Lyrics


I swear… I swear
I swear… I swear

Nilijitia okomandoo ooh
Kwa kushika mitutu
Nakuhisi nawashwa na upele mwilini
Mwilini nimebambishwa opupu
Tenakwa kukabwa ko ooh
Nalambishwa turufu
Mke si wa kwangu lakini leo
Napigiwa madufu

Nilicho gundua twafanana makusudi
Kesi ya juma nayo kapewa rashidi
Wa kuja kunitetea hana hata dalili
Mwili umezizima nahisi baridi
Nalazimishwa oa oa oa ahh
Ndo jiko lako bwana utachukua
Namisitaki ndoa ndo ndoa ahh
Moyoni mwangu bado sijaridhia

Sio mimi (I swear)
Kwani twafanana nini (I swear)
We dada basi sema na wazee (I swear)
Waniache huru mie (I swear)
Ai ooh sio mimi (I swear)
Kwani twafanana nini (I swear) aah
Aaah Waambie wazee (I swear)
Waniache horo mie

[VERSE 2]
Jamaa duniani ni watu wawili wawili
Tabia ngozi kamwe siwezi badili
Kasura kangu leo jama kameponza mwili
Aih yo yo yo ooh
Basi waambie wasikie wazazi jirani
Wazazi jirani wajue wazazi
Na hiyo mimba yako sio ya kwango mie
Mwanipakaziaa
Kwanza ntakuweka wapi
Naunga unga ili nipate angalau
Na sura nitaficha waapi
Lawama nyingi ndio mwanzo wa dharau

Nalazimishwa oa oa oa aah
Ndo jiko lako bwana utachukua
Nami sitaki ndoa ndoa ndoa ooh
Moyoni mwangu mimi sijaridhia

Sio mimi (I swear)
Kwani twafanana nini (I swear)
We dada basi sema na wazee (I swear)
Waniache huru mie (I swear)
Ai ooh sio mimi (I swear)
Kwani twafanana nini (I swear) aah
Aaah waambie wazee (I swear)
Waniache horo mie


Jumba bovu limeniangukia (I swear)
Goma la wana nimeuziwa (I swear)
Wala si wangu (I swear)
 Leo noma noma (I swear)
Iyee iyee ( I swear)
I swear… I swear

I swear

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : I Swear (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

ENOCK BELLA

Tanzania

ENOCK BELLA is a recording artist from Tanzania, former member of the Yamoto Band a group he formed ...

YOU MAY ALSO LIKE