CCM salaam Lyrics
Kijana wa nchi ya uchumi wa kati
Kijana wa kiTanzania
Kijana wa Magufuli
Navimba na rais wangu
Kifua mbele
Kama nimepigwa ngumi ya mgongo
Anko Magu chuma bwana
Hapa kazi tu
Anko Magu chumaaaa
Jamani vijana wapewe nafasi, Si ndio CCM
Tupishe njia, Si ndio CCM
Tunaingia Si ndio CCM
Wote pishe njia Si ndio CCM
Oi tupishe njia watu wazima tuongee na watanzania
I'm on fire yes kijana wa Magufuli
Bara pwani, raia mziki wanaukubali
Shwari hamna shari upuuzi umekula kabari
Mafisadi na wala rushwa meli wanaiona kwa mbali
Ni shida mzee wangu kimenuka damu yangu
Hata mi mlala hoi naifurahia nchi yangu
Tinga ovarola asiyefanya kazi na asile
Mzee baba hacheki na kima hakuna hela za bure
Kodi zote tunaziona zinapokwenda
Kusomeshea watoto na barabara zinajenga
Hata siamini Tanzania ya ma Fly Over
Tunaenjoy nchi wa miguu na ma Range Rover
Huna mpinzani si bara si visiwani
Naamini maneno ya kuomba sisi ndio namba one
Hizi ni salam pokea zangu salamu
Ndani ya Dar Es Salaam na tena ukitabasamu
Hizi ni salamu toka kwetu Magufuli dot com
Hizi ni salam pokea zangu salamu
Ndani ya Dar Es Salaam na tena ukitabasamu
Hizi ni salamu toka kwetu Magufuli dot com
Zile "Unajua mi ni nani?" Siziskii tena shuwaini
Adabu na heshima tushajua haki ni nini
Sawa nchi nzima kama kambale na ndevu
Haina mchovu haina bosi
Haina kuonyesheana mbavu
Ndo tulivyotaka, Mungu akatuitika
Vijana chance wanapata, Baba uongozi anawapa
Japo na mablunder yetu anakwenda na sisi wanae
Ndio tunajifunza baba atajivunia baadae
Nakupa tano za ATC chuma umenikosha hii
Kwa casha money like a boss mpaka siamini
Mwanao mtumishi wa watu
Siwezi maliza mpaka niwaombee viatu
Naomba barabara ya amani
Muheza mzee wangu
Watu wako wanapata tabu
Iliki hazifi,ki babaangu
Afya na maji kama wimbo nitakuimbia
Watu wako wanakupenda shida zao wanakuletea
Hizi ni salam pokea zangu salamu
Ndani ya Dar Es Salaam na tena ukitabasamu
Hizi ni salamu toka kwetu Magufuli dot com
Hizi ni salam pokea zangu salamu
Ndani ya Dar Es Salaam na tena ukitabasamu
Hizi ni salamu toka kwetu Magufuli dot com
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : CCM salaam (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MWANAFA
Tanzania
Hamis Mwinjuma also known as MwanaFalsafa or simply Mwana FA and also known as Binamu is Tanzania&rs ...
YOU MAY ALSO LIKE