Nimeghairi Kufa Lyrics
Aah wanangu nimeghairi, nimeghairi
Ah jamani nimeghairi, nimeghairi
Na kwanza nimeghairi kufa
Nimeghairi kujiua nimeghairi kufa
Nimeghairi kujiua nimeghairi kufa
Kila nikiwaza kibao kata wale chura napagawa
Pengine demu wangu nazikwa wiki ijayo anaolewa
Walionibroke kila sehemu pengine ndo watalia
Alafu Fela na Tale mchango wasitoe hata mia
Hio siku wengine usoni watalia
Ila moyoni watacheka
Na media zilonibania
Ntapigwa kila dakika
Waimba singeli watatokea mpaka ambao tuna ugomvi
Nitazikwa na singeli yangu kama Kabumba na Bongo movie
Walivyoishi vizuri na Wasafi mi mpaka siamini
Eti Konde Boy kaja kuzika ila chibu haonekani
Msimu wangu nasikitika tumetulia kwa pembeni
Ukimuona Lava Lava na Mbosso Khan
Wanatongoza msibani
Mi ndo maaana nimeghairi kufa
Nimeghairi kujiua, nimeghairi kufa
Nimeghairi kujiua, nimeghairi kufa
Nimeghairi kujiua, nimeghairi kufa
Ah Mungu kwa watoto wa mjini
Kaonesha maajabu yake
Ulomnyima sura kampa shepu wakomeshe
Watoto wa mjini tunaona maajabu yake
Alomnyima sura kampa shape wakomeshe
Sepetu ana shepu yake kanionyesha we
Wolper ana shepu yake kanionyesha
We Gigy Money ana shepu yake kanionyesha we
Uwoya ana shepu yake kanionyesha
Mnadai Pierre na si aibu ndo mmemtimua
We meneja mokwapi
We kama hamtaki hasa ule mbona mlipa hela ya kulewa
Baridi tu pisi
Mia tisa tisini na tatu nipigie namba ile ile
Hela tuma kwa namba ya Lokole ndo imesajiliwa kwa kidole
Kwanza wengua kama inabana ka vipi ichane mpasuo
Kwapo ulipo simama ka vipi weka kituo
Si unajua mwenye ghetto huwaga hakosi funguo
Una hatari bwana, una hatari wee
Una hatari bwana, una hatari
Una hatari bwana, una hatari wee
Una hatari bwana, una hatari
Aah jamani chura
Anakatika mpaka anakera hakai ngezi
Ah chura huyu mtoto wa Mbagala haelewi
Anakunywa pombe mpaka sigara jamani aah
Mashalove nionyeshe uchura
Tuwatunze na hela
Nionyeshe uchura, tuwatunze
We lete chura Mbaghala
Wa mwana Nyamara au wa kinondoni, Magomeni
Walete wa mazeze, wa Temeke
Wa Ilara mpaka Mbaghala
We tingisha moja moja bwana
Bado sijaona
Moja moja bwana, na wanangu
We tingisha la kulia, la kulia
We mwanagu la kulia, la kulia
Sijaona la kushoto, we kushoto
Mwanagu kushoto we kushoto
Basi changanya changanya bwana
Na mwanangu tena
We changanya bwana bado sijaona
Changanya nione, we nione
Basi zungusha nione, we nione
Basi kiwango tuone bwana
Anaitwa Doni kiwango
Anakusalimia Dj kidogo dogo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nimeghairi Kufa (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DULLA MAKABILA
Tanzania
Dulla Makabila is an artist from Tanzania. Dulla sings Singeli type of music. ...
YOU MAY ALSO LIKE