Home Search Countries Albums

Motoni Kumedamshi

DULLA MAKABILA

Motoni Kumedamshi Lyrics


Motoni Kumedamshi
Motoni Kumedamshi

Yaani kufumba kufumbua najikuta tu peponi
Mzee Majuto na Shehaya wanasoma Kurani
Basi malaika kaniita mi nichungulie motoni
Wanangu moto na wanakula bata kama wapo duniani

Eeeh motoni kumechangamka balaa
Mwitungi si shauri na chura ndani ya nira
Mambo yana sharo milionnaire
Wao wanatunga nyimbo ya kusifia zinara

Nilipo ni mimoshi na minyama nyama
Karata za bati zinachezwa kila kona
Mi mpaka ninapata amani motoni
Ila ndo vile Makabila mi dhambi sina

Wanangu motoni kumedamshi
Motoni kumedamshi
Jamani motoni kumedamshi
We motoni kumedamshi

Mama moto unaonyesha --amelala chali
Basi na sisi tulewe we tukatafute shari
We biggy man la zisti pombe
Suva anamwaga la zino na bangi
Mikadomo anamwaga la zisti pombe
Dulla hatari anamwaga la zino na bangi

Wana bifu sio mbaya ila sio na washamba
We wa mi crazy
Mke kapewa simu kimada kajengewa nyumba
We unajiita malaya sikuoni Facebook

We unajiita malaya sikuoni Instagram
We unajiita malaya sikuoni Whatsapp
We unajiita malaya sikuoni Snapchat
We unajiita malaya vipi ujue pasi hauna hata chura

Ukijipodoa mrembo kinawahusu ka kigagura
Jamani mmbeya anasema kweli lakini hajatumwa
Kisha ushuhuda anaongea kweli lakini hajatumwa
We msono

Basi piga chobo gwai(Chobo)
Faridi mtupisi chobo gwai(Chobo)
We mwana samata chobo gwai(Chobo)
Chobo gwai, HK chobo gwai, chobo gwai

Mwanaungu we jimwage(We jimwai mwai)
Ah jimwage(We jimwai mwai)
Mkubwa Fella jimwaga(We jimwai mwai)
Babu Tale jimwage(We jimwai mwai)

Bo silver zijimwage(We jimwai mwai)
K Money jimwage (We jimwai mwai)
Mamu wa daddy jimwage(We jimwai mwai)
Cleopatra jimwage (We jimwai mwai)
Dami Radadi jimwage(We jimwai mwai)

Wika basi, twende tena

Mama ukiinama donoa
Wahuni donoa ukiinuka donoa
Wanangu donoa ukiinama donoa
Wahuni donoa ukiinuka donoa

Wika basi, twende 

Mtoto wa tabia mbaya kadi si kwa baba yake
Mtoto wa tabia nzuri kadi si kwa mama yake
Mwana wa tabia mbaya kadi si kwa baba yake
Mtoto wa tabia nzuri kadi si kwa mama yake

Basi twende kama unalo tingisha
We dada tingisha kama unalo tingisha
Bafia tingisha kama unalo tingisha
We mama tingisha kama unalo tingisha

Basi twende 

Nioneshe unavyo chumaga mchicha tembele
Mwanangu unavyo chumaga mchicha tembele
Nioneshe unavyo chumaga mchicha tembele
Wahuni wanavyo chumaga 

We makizube, atiatiatia cheza

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Motoni Kumedamshi (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DULLA MAKABILA

Tanzania

Dulla Makabila is an artist from Tanzania. Dulla sings Singeli type of music. ...

YOU MAY ALSO LIKE