Wamilele Lyrics
Wengine kando, tetele mchele
Sio kazi
Hafanyi more, pesa zina matege
Kweli muyadharau ni mtama ukutege
Sheria msumeno, ke ke
Kunyongwa kisa tete
Malimwengu darasa imara
Naomba niyashinde
Ugomvi vurugu mikwala
Dhiki isije kwamile
Wamile wamilele
Wamile wamile
Wamile wamilele
Wamile wamile
Wamile wamilele
Wamile wamile
Niuze upi kisa kito
Mi kijumbe sina sera
Utukuriba sitamani
Nipate ni imani yako
Hawashibi kilo
Labda uwe toy
Ponda mali waunde kamati
-- si mkweli dai
Ila tu sio muda wake
Sheria msumeno, ke ke
Kunyongwa kisa tete
Malimwengu darasa imara
Naomba niyashinde
Ugomvi vurugu mikwala
Dhiki isije kwamile
Wamile wamilele
Wamile wamile
Wamile wamilele
Wamile wamile
Wamile wamilele
Wamile wamile
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Minitape EP (EP)
Copyright : (c) 2020 Billionaire Kid
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE