X
Kumtegemea Mwokozi Lyrics
Kumtegemea Mwokozi kwangu tamu kabisa
Kukubali neno lake nina raha moyoni
Yesu Yesu namwamini nimemwona thabiti
Yesu Yesu yu thamani ahadi zake kweli.
Kumtegemea Mwokozi kwambu tamu kabisa
Kuamini damu yake nimeoshwa kamili
Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa
Kwake daima Napata Uzima na amani
Nafurahi kwa sababu nimekutegemea;
Yesu Mpendwa na Rafiki Uwe name dawamu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Kumtegemea mwokozi (Single)
Copyright : ©2017
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE