Ni ujumbe Lyrics

Ni ujumbe wa Bwana haleluya kwa maisha ya daima
Amenena mwenyewe haleluya utaishi ukitazama
Tazama ishi sasa kumtazama Yesu
alinena mwenyewe haleluya utaishi ukitazama
Uzima wa daima haleluya kwake Yesu utauona
ukimtazama tu haleluya wokovu u peke kwa Bwana
Tazama ishi sasa kumtazama Yesu
alinena mwenyewe haleluya utaishi ukitazama
Ni ujumbe wa Bwana haleluya nawe shika rafiki yangu
ni habari ya raha haleluya mwenye kuinena ni Mungu
Tazama ishi sasa kumtazama Yesu
alinena mwenyewe haleluya utaishi ukitazama
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Ni ujumbe (Single)
Copyright : ©2017
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE