Move On Lyrics

Bye bye ndio neno langu nimekuswafia
Kuondoka ndio nusura yangu kuliko kukumbatia
Sababu nakupenda unajua siwezi fanya tofauti
Naona nguo zishakauka anua, nimeridhika na kibuti
Penzi furaha, penzi jeraha
Usijeokota umauti
Naona nguo zishakauka anua
Nimeridhika na kibuti
Amini niko tima
Kinitokacho kinywani si haramu
Na mi ni binadamu
Haya maumivu kwa damu
Sababu nakupenda unajua
Siwezi fanya tofauti
Naona nguo zishakauka anua
Nimeridhika na kibuti
Si kwa ubaya nimemove on
Si kwa ubaya nimemove on
Si kwa ubaya nimemove on
Si kwa ubaya ah nimemove on
Si kwa ubaya nimemove on, move on
Maana sili hata na usiku silali
Ah najiuliza nini hiki wamekishindwa madakitari
Ah najitedi simama siwezi, mtoto rudi kwa mama
Ashalala simama penzi limenikill nyakanyaka
Ah labda walitaka kuniua
Ama nilikosea kuchagua
Aya kushona mi nikatatua
Asa ndo picha limeungua
Sababu nakupenda unajua
Siwezi fanya tofauti
Naona nguo zishakauka anua
Nimeridhika na kibuti
Si kwa ubaya nimemove on
Si kwa ubaya nimemove on
Si kwa ubaya nimemove on
Si kwa ubaya ah nimemove on
Ah labda walitaka kuniua, kuniua
Haya maumivu kwa damu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Sweet Pain (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KAYUMBA
Tanzania
Kayumba Asosie is a singer/songwriter / artist from Tanzania. He is best known for love so ...
YOU MAY ALSO LIKE