Home Search Countries Albums

Namna Gani

MAN JUA Feat. GENIUS JINI X66

Namna Gani Lyrics


Namna gani, mbona kama unakosa furaha
Huh namna gani,  Mbona kama feru unashangaa
Namna gani, unakuwa kidume na sio shujaa
Namna gani we unakaa kidume unadanga 
Namna gani, bado mdogo unawanga
Namna gani, umekuwa mkubwa na hujajipanga
Namna gani, unataka gari na huna kiwanja

Namna gani?
Namna gani?
Namna gani?
Namna gani?

Namna gani, unazomea kipofu hakuoni
Namna gani, mbingwa una mambo ya kikoloni
Namna gani, huchezi ngoma unaweka kapuni
Nashangaa umepanda, umepanda ukashuka
Kweli maisha ni muziki
Ndo vile ukalala ukakumbuka na shuka
Kumbe kumeshakucha

Namna gani, basi barida barafu
Samaki si umenasa kwenye nyavu
Mziki wa sasa kiki kiki
Vitanda navyo kwichi kwichi

Namna gani?
Namna gani?
Namna gani?
Namna gani?

Namna gani kujifanya hunipendi ukilala unaniota
Namna gani kujifanya hupendi kisima na maji unachota
Namna gani kunenepa kati nakudai
Namna gani sura mbaya na hupaki dye
Namna gani mwenye nyumba kupandisha kodi
Namna gani sharobaro nguo za kukodi
Yaani inapoa inapoa, inapoa

Namna gani?
Namna gani?
Namna gani?
Namna gani?

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Namna Gani (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MAN JUA

Tanzania

Man Jua is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE