Home Search Countries Albums

Umenishinda

DOGO JANJA Feat. LULU DIVA

Umenishinda Lyrics


Waambie wenzio mimi naitwa Lulu Diva
Natokea Tanga wanaume wanapouliza
Uliza Nicole mi sio Cole
Mi niko solo sina kasoro

Mpenzi na anayejua ndio maaana alikununua
Hata uliponiomba sikusita kufunua
Leo nashangaa unakesha bar
Wacha kuniletea za wanaume wa Dar

Nimekushindwa baba nenda nenda
Sikatai nilikupenda nenda 
Ila hama hapa nilijenga mimi
Kitanda godoro nilinunua mimi

Baba wee, baba wee
Umenishinda baba wee
Baba wee, baba wee
Umenishinda baba wee

Mama wee, mama wee
Umenishinda mama wee
Mama wee, mama wee
Umenishinda mama wee

Sio bure mtoto umerogwa
Maana hutulii kama kovu la togwa
Kitanda uko smart ila hutaki kunoga
Shida umepinda kama dada kibonga

Usiku kucha makelele kama kinanda daily
Mmmh mpaka mimi nimesanda
Nikitoka majirani wanachapanga
Mpaka Adhumani anakumanga

Kudadade wanakuita cha usiku
Una mapiga kama umelewa buti
Sitaki zile mambo mara seven maradona
Safari nyingi mara Nai mara Doma

Oh shit hizi ndo mambo zilifanya
Nikadunga Ex wangu kisu

Baba wee, baba wee
Umenishinda baba wee
Baba wee, baba wee
Umenishinda baba wee

Mama wee, mama wee
Umenishinda mama wee
Mama wee, mama wee
Umenishinda mama wee

Baba wee, baba wee
Umenishinda baba wee
Baba wee, baba wee
Umenishinda baba wee

Mama wee, mama wee
Umenishinda mama wee
Mama wee, mama wee
Umenishinda mama wee

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Asante Mama (Album)


Copyright : (c) 2021 MMB (Manzese Music Baby)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DOGO JANJA

Tanzania

Dogo Janja is a rapper from Dar es Salaam, Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE