X
Katikati ya Miungu Lyrics

Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe Mungu kama wewe
Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe
Mungu kama wewe Mungu kama wewe
Baba
Yesu
Baba
Yesu
Roho
Katika ya mataifa yote sijaona Mungu kama wewe
Katika ya masitu yote sijaona mtenda miujiza kama wewe
Hakuna kama wewe Mungu wa Eliya Ooh
Hakuna kama wewe Mungu wa Isaka Ooh
Mungu wa Danieli Hakuna kama wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2014
Album : KatiKati Ya Miungu (Single)
Copyright : ©2014
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE