Home Search Countries Albums

I miss you

DIAMOND PLATNUMZ

I miss you Lyrics


Hello hapo vipi sijui unanisikia

Hello nnamaneno natamani kukwambia

Hello tafadhali usije nikatia

Hello ona mpaka nasaau kusalimia

Habari ghani leo nmekumbuka sana

Na mama yani twakuwazagaa

Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana

Na aunty shani wa chimwagaa ah ah

Kile kidonda changu cha roho bado kinatia tabu

Nnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha adhabu

Tena silali oh nasubiri maajabu

Maumivu yangu ayajapata dawa...

I miss you nakukumbuka iye iyeh

I miss you nakukumbuka iye iyeh...

I miss you nakukumbuka iye iyeh

I miss you nakukumbuka iye iyeh

Na roho yangu mama

Bingili bingiliAh nikikuwaza bingili bingili

Nikisinzia bingili bingili bayoyo

Oh nikilala

Bingili bingiliIh inama inuka uwoh bingili bingili

Yani sina raha bingili bingili bingili bayoyo

Ah iyeeeh ah iyeeeh

Tatizo kwetu sijui nini kosa langu

Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiagaNawaza ila siambui ama shida zangu

Simba nikawa chui mi roho inaniumaga

Yawezekana ahadi zangu zisizotimia

Ndio maana haukutaka kusubiria

Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia

Chai mchana usiku dona kurumaghia

Nilitamani sana ila nguvu yangu palinishia

Ningalikua na uwezo ningekutimizia

Mingali unafuraha haya maumivu ntayavumilia Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh

Nakumkumbuka iyeeh iyeh nakumkumbuka sana

Ooh... I miss you nakukumbuka iye iyeh

I miss you nakukumbuka iye iyeh...

I miss you nakukumbuka iye iyeh

I miss you nakukumbuka iye iyehAh

Na roho yangu mama bingili bingili

Ah nikikuwaza bingili bingili

Nikisinzia bingili bingili bayoyoOh

Nikilala bingili bingiliIh

Inama inuka uwoh bingili bingili

Uku sina raha bingili bingili bingili bayoyo

Ata nikila bingili bingili

Nikikuwa bingili bingili

Nikilala heeh bingili bingili bayoyoOoh

Ona roho mama bingili bingili

Ah nikikuwaza bingili bingili

Nikisinzia bingili bingili bayoyoHeeeh! Roho yangu mama bingili bingil

IHeh heh heeh! Bingili bingili

Heh heh heeh! Bingili bingili bayoyo

Oooh roho yangu mama bingili bingiliIh inama inuka uwoh bingili bingili

Chibu sina raha bingili bingili bayoyoAh ata nikila!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 0


Album : I miss you (Single)


Copyright : (c)2017 Wasafi Records


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

DIAMOND PLATNUMZ

Tanzania

Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...

YOU MAY ALSO LIKE