Hapana Lyrics
Najua mnatutakia mema
Mnataka tuishi vizuri
Ila hamjui anayotenda
Mapaka naonekana kiburi
Najua kaja sema vitu vya uongo Ili mradi nionekane mi ripopo
Kumbe baba yeye ndio moto
Wakuotea mbaliii
Bado nampenda mimii
Sikuondoka kwa kupenda
Ila mambo anayotenda Mimi hapana
Hapana Dady Hapana
Mom Hapana
Hapanaa Hapaanaa
Ooohhhh ooohohhhh
Ooohhhh ooohohhhh
Sometime you lie me
You cheat me
You Drive me Like a Crazy
Unarudi asubuhi kama uongo sema
Unarudi umelewa kama uongo sema
Ila umewahi umesema vya uongo Ili mradi nionekane Mimi mi ripopo
Kumbe baba wewe ndio moto
Wakuotea mbaliii
Bado nakupenda
Sikuondoka kwa kupenda
Ila mambo unayotenda Mimi hapana
Hapana Dady Hapana
Mom Hapana
Hapanaa Hapana Hapaanaa
Hapanaa Hapaanaa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Baraka Bakari
SEE ALSO
AUTHOR
DATTY TZ
Tanzania
Teddy Franco popularly known as Datty is a Tanzania Afropop singer, songwriter, and performing act g ...
YOU MAY ALSO LIKE