Home Search Countries Albums

Naogopa

DATTY TZ Feat. AMOUR JJ

Naogopa Lyrics


Mhhh yeiyeee

Walionipa maumivu ya mapenzi,Sio wa kwanza baba
Hawakujali kabisa mateso kuniliza ahaa
Nikawa usingizi nakosa kabisa usiku silali
Mapenzi ya dhati yakanitesa
Furaha ya mapenzi shubiri

Usiniweke kwenye maumivu yako
Ukanichanganya mama
Mimi najali sana mapendo yako
Nimeshazama mamaaa Usidhani na mii
Ukanifananishe na waleee
Minakaupenda moyoni baby,Naomba unielewe
Pendo lako la thamani kwangu
Nalitunza kama mboni ya jicho langu
Mimi mwenzako nakupenda sana
Japo na wivu kwako mimi pungu
Oohhhhh oohh baby uuhhh laalala

Minaogopa sana minaogopa baba
Minaogopa sana mapenzi hayana dhamana
Usiogope mama minakupenda sana
Maumivu yale ya nyuma
Mapendo yapo kwa mtima

Mhhh mhhhhhh Ey kwanza nitatunza siri zako
Japokuwa huniamini toka moyoni
Mhh kwako bado nipo chini yako
Niko radhi nitangaze hadharani  
Unanipa maeneno mazuri,Ila wengi mnafanana
Kwa kivipi minitakuamini kweli unanipenda sana
Nimeshakuweka kwenye maumivu yangu
Nimeshalizwa sana Wengi walitesa hisia zangu
Walinichanganya sana

Na usidhani na mii
Ukanifananishe na waleee
Minakaupenda moyoni baby
Naomba unielewe
Pendo lako la thamani kwangu
Nalitunza kama mboni ya jicho langu
Mimi mwenzako nakupenda sana
Japo na wivu kwako mimi pungu
Oohhhhh oohh baby uuhhh laalala

Minaogopa sana minaogopa baba
Minaogopa sana mapenzi hayana dhamana
Usiogope mama minakupenda sana
Maumivu yale ya nyuma
Mapendo yapo kwa mtima

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Naogopa (Single)


Added By : Aisha Salum

SEE ALSO

AUTHOR

DATTY TZ

Tanzania

Teddy Franco popularly known as Datty is a Tanzania Afropop singer, songwriter, and performing act g ...

YOU MAY ALSO LIKE