In Love Lyrics

Nataka waninyonge wanipeleke Kamiti
Wazazi sina mapepe
Alivyofall kidege, na mi nimefall in love
Na mi nimefall in love eh eh
Nikupeleke Bundu kwetu kwa mama
Kajifunze kupika kuni sio makaa
Zile swaga za kwako wote wanavaa
Hatoziweza, woman I love you
Mwendo wa ki te te teka
Nami nyuma nyuma nadeka
Mgongoni ani be be beba
Anirudishe utotoni
Mwendo wa ki te te teka
Nami nyuma nyuma nadeka
Mgongoni ani be be beba
Anirudishe utotoni
Nah nah nah nah nah nah nah
Nah nah nah nah nah nah yeah
Unaponiona jicho ukilirembua
No usemi usemi my baby
Na kiuno ukikata ka kina mfupa
Umenimaliza baby
Unaponiona jicho ukilirembua
No usemi usemi my baby
Na kiuno ukikata ka kina mfupa
Umenimaliza baby
You are so beautiful baby girl yeah
I don't wanna think of anyone
Nikikushika huku umevimba si haba
Tukilala wote unanikaba kaba
Unavyolala ukichora saba
Unanikumbusha vya kibaba baba
Unavyolala ukichora saba
Unanikumbusha vya kibaba baba
Ninapokosa mpenzi wangu
Inabidi univumilie
Usije ni-- na machangu
Ah baby ah baby
Mwendo wa ki te te teka
Nami nyuma nyuma nadeka
Mgongoni ani be be beba
Anirudishe utotoni
Mwendo wa ki te te teka
Nami nyuma nyuma nadeka
Mgongoni ani be be beba
Anirudishe utotoni
Nah nah nah nah nah nah nah
Nah nah nah nah nah nah yeah
Unaponiona jicho ukilirembua
No usemi usemi my baby
Na kiuno ukikata ka kina mfupa
Umenimaliza baby
Unaponiona jicho ukilirembua
No usemi usemi my baby
Na kiuno ukikata ka kina mfupa
Umenimaliza baby
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : In Love (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE