Home Search Countries Albums

Kimoko

CANDLE TZ Feat. MR BLUE

Kimoko Lyrics


Namiss bakora
Usije kunipora
Usisikize wakora
So wasije kunichora

Badboy, namuita kingpin
Hawana lolote hawa maslayqueen
Oh nah nah you're my own king
Chomeka kimoko kiingie ring

Kama beki hazikabi mi ndo keeper keeper
Nipe chap chap mbio cheetah cheetah
Ata faster faster nitaridhika
Napena joto lako ukinishika shika

Baby twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko
Baby twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko

Baby twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko
Twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko

[Mr Blue]
Ah ngoja kwanza napima oili Nay wa Mitego
Hey baby umepanda bei kwa machejo
Raha tu mama napenda yako michezo
Kalisha matembo wachape kwa urembo

Nichape kimoko alafu nakwenda mafundi
Niko kesha kwa mahaba na sio sabuni
Bwana zako walopita wote kapuni
Waone kama katuni

Ni tamu huwaga maziwa
We mwaga nguo sakafuni
Nitakupiga kimoko hicho kingine poa baadae
Kisha nitakupa watoto na watoto pia wazae
Mapenzi moto moto hadi maadui washangae

Out tunaenda kwako haya baby kajiandae
Haya nenda kavae
Kavae zile nguo unajua nazipenda
Haya mama nenda kwanza chukua denda

Baby twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko
Baby twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko

Baby twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko
Twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko

Baby twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko
Baby twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko

Baby twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko
Twende sawa, nipe kimoko
Twende sawa, kimoko moko

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Kimoko (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CANDLE TZ

Tanzania

Candle Tz is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE