Chomeka Lyrics
Bonge la toto bonge la toto mami
Siliwezi baridi baby nipe joto
Nikupate nideke me kwako mtoto
Ebu kamata hilo body likunje kushoto
Chumbani bingiri na maphoto photo
Nimekubali twende na weee(nawee)
Kule kijijini tukaone wazee(nawee)
Tule kiapo mimi na wee
(nawee)
Mi sipendi noti noti bby(bby)
Nimekupenda wewe mwenyewe
Si umeniita, nimeitikaa
Napenda unavyo chomeka
Chomeka chomeka chomeka chomeka
Chandarua tulale, chomeka chomeka
Chomeka tulale, chomeka chomeka
Yo Shetta to Shetta(okey)
Eyoo Baba Kyla
I love you bby gyal(yes)
And I hope you know that right?
Nani Bongo wa kukuhonga mamilioni
Wote wapenda vikonge ila mimi ni don
Napenda venye unavyo nyonga just keep it on
Na kwenye boxer nina kinyonga chameleon(hahaha)
Basi deka nichojoe
Ila nikichomeka usichomoe
Nataka pleasure nikupoe
Japo beki zako nyingi acha striker nitoboe
Bonge la toto, bonge la toto mami
Bonge la joto, bonge la joto ndani
Bonge la vocal, bonge la vocal na huko nyuma
(bonge la chocho, bonge la chocho mami)
Mi sipendi noti noti bby(bby)
Nimekupenda wewe mwenyewe
Si umeniita, nimeitikaa
Napenda unavyo chomeka
Chomeka chomeka chomeka chomeka
Chandarua tulale, chomeka chomeka
Chomeka tulale, chomeka chomeka
Chomeka chomeka chomeka chomeka
Chandarua tulale, chomeka chomeka
Chomeka tulale, chomeka chomeka
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Chomeka (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE