Ipepee Lyrics
Blessings
Misosi
Am sorry brother
We sio uliimba sa utatoka Vipi
Sikuskii tatizo Ni lipi
Umefeli ama umekosa Kiki
Mpaka nikadhani umekosa Chichi
Aaah ah Niko chimbi najipanga
Maana Muziki wa bongo umejaa mavituko
Wengine mnawanga wengine mnadanga
Ninakumbuka wimbo wa madame wa Tanga
Dah Ule Noma ulipasua ule dimbo la anga
Kwenye Mapenzi Tanga Hakunanga
Maana nilimpata mmoja alivuja Kama tags
Hivi mnajua wadogo mnazingua
Wenye Camera kwanza Ngoja
Msiba
Mista ebo ulitokea??
Ngoja kwanza Ila wangwea nilihudhuria Kinyama
Wengine sio mastar bwana wachana na hizo mambo
Kelele Mingi mnatuchosha
Wacha Muziki itawale
Tusikie Unapepea
Wikendi mnataka makiki mnazusha
Mnatangaza mmekufa Tena baada ya Siku mmefufuka
Nyumba Ni digitali
Hivi una Mtoto ??
Ah ah
Naona Kama unapitia changamoto
Maisha freshi Niko msafi sina msoto
Hauna Show bana unakiona kwa Moto
Wanapigwa huku na kupigwa Kule
Media zenyewe zimesababisha misukule
Eti bro show Zako ulikua unalipwa ngapi
Niliskia ulikua unalipwa elfu hamsini tu
Kelele Mingi mnatuchosha
Wacha Muziki itawale
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ipepee (Single)
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE