Home Search Countries Albums

Masaa Ni Mbaya

BREEDER LW

Masaa Ni Mbaya Lyrics


[CHORUS]
We goin in na the mbogii tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46

[VERSE 1]
Masaa ni mbaya tuko mbaya niko Ungwaro 46
Kuna rapper aliniseti nikashikwa na police
Usoro me sitaki niko kwa cover ya magazine
Nikibuy ndai soon itabidi imepigwa tint
All my exes wanadai ni come through
Bado me na father game kama Kagwe na Kahush
FYI, Kila siku haifanani
Leo tunaeza cheka cheka kesho siko in the mood, Na
Nikidedi saa hii niko sure ntamake news
Ju ma fan wananipenda na mahater bado few
Na ukispot Nikey Ticks on the shoes
Kuwa sure ni zenyewe,Cloth line coming soon,Ah
Papa Fathela ,Wakiitisha Nawapea
Na Kunatupa kwani buda ume dhefea?
Black Monalisa , Melanin pia imeshika
When I pull up to the spot hatutoki bila giza
Kuna tothi aliuziwa nyong'inyo thao
You know we getting money niko ma washika dau
Walisema no smoking tukai blaze nyuma ya ploti
Sa nashinda nikihama ju ma landii ni wa nosy

[CHORUS]
We goin in na the mbogii tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46
We goin in na the mbogii tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46

[VERSE 2]
Sio ma banger pekee yake me nawezesha na skill
Ma shawtty wananipenda ka ule singer wa Billie Jean
Top 5 ju sipendi number 6
Ni saa tisa asubuhi tuko jaba na ma gin
Bust a move, unaeza lean back kiasi
Ma mba'nga washa ni spot nina mbichwa kwa  shati
Afisa manze pole,samahani
But cell me silali sema tu utakula ngapi
Me si fan wa man u ju sipendangi hio jersey
Paper chase daily kila area niko ndani
Ni Maombi ya mokoro ndio hunilinda
Vile ma soshi huringa huwezi jua wanaogopa mimba
Nina 100 niggas kwa payroll si streets
We ulikuanga zoza buda tusha ku impeach
Age unani double
Skill naku tripple
Curfew jo inaboh kuzidisha niko single
Debe inachuna tuna lose, Control
Shash kwa hii medulla niko high, Ozone
Ka unakuja sleep over spray marash, cologne
Na toka nikue ryma me hulike mamboch

[CHORUS]
We goin in na the mbogii tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46
We goin in na the mbogii tuko lit
Na Machingiri kwa tumbler Kuzimix
Msupa anataka number na ma pics
Na Masaa ni mbaya niko Ungwaro 46

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Masaa Ni Mbaya (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BREEDER LW

Kenya

Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE