Home Search Countries Albums

Ithaa

BOUTROSS Feat. DOPE-I-MEAN

Ithaa Lyrics


Yea
Ei

Si pendi hizo form
Juu morio ali shikwa mali mtaani
Aki rombosa ngoko flani
Chali ali mshtua ati hajui ni ya nani
Kumbe huyo ngweus alikuwa asha mseeti
Boy ali shindwa nigani ndio maana hauwezi
Ni pata na ngweus ana itwangwa nyokabi
Story za nyoka ndio si taki
Na skianga siku hizi vijana wameshika
Na shindwa wameshikia wapi
Me na uliza tu mara ngapi
Tume ingia stage  tuka angusha mabati
There is too many fish in the sea
Ni sawa kuna shark na kuna tilapia
Kuna wenye hukulanga vifiti vibaya
Na kuna wenye hukulanga mafi

Niko ithaa eeh
Vile ita kuja haina worse
Asha ni ambianga ni sawa
Nika mwambianga reverse
Aah! Aah

Ok what haaa!
Drop it like baby a slut
Aka ni ambianga ni sawa
Nika mwambianga reverse
Niko ithaa eeh
Vile ita kuja haina worse
Asha ni ambianga ni sawa
Nika mwambianga reverse
Aah! Aah
Ok what haaa
Drop it like baby a slut
Aka ni ambianga ni sawa
Nika mwambianga reverse

Kuna sos flani mtaani ana gari lakini yu dedi mamboch
Ata na shindwa ni aje
Ithought ukiwa na ganji
Maskimbi hu flock so me na wife wake
Hupiganga shower
Mangware aki chuck  tuko ndani ya bafu
Kwenye wasafi na chezanga chafu
So nina nguna wawili watatu
Ina ni shinda mathafu heeee
Maskani nakunywanga uji ya njoti
Me ndio kunyamba kusema kwa ploti
Ni ite alibaba juu geri forty

Ata jo jaba ikishika sichochi
Fikiwa kahawa ukule makofi
Uki ingiza baridi
Jo shika kikoti
Juu me ni kali uta
Kula ma swaki juu niko

Niko ithaa eeh
Vile ita kuja haina worse
Asha ni ambianga ni sawa
Nika mwambianga reverse
Aah! Aah
Ok what haaa
Drop it like baby a slut
Aka ni ambianga ni sawa
Nika mwambianga reverse
Niko ithaa eeh
Vile ita kuja haina worse
Asha ni ambianga ni sawa
Nika mwambianga reverse
Aah!Aah
Ok what haaa
Drop it like baby a slut
Aka ni ambianga ni sawa
Nika mwambianga reverse

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Mawingu (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BOUTROSS

Kenya

Boutross Munene is a Composer/Producer/Rapper from Kenya. Boutross is from the AD Family a kenyan sh ...

YOU MAY ALSO LIKE