Home Search Countries Albums

Inde Lyrics


Sipendi watiaji
Niko gauge niko gendo niko maji
Niko fly ligi soo katikati
Natoka far buda cheki patipati

Baby kwa club hunihati
Mi hupenda ma mama fatty fatty
Mi huchana mogoka si mambati
Just give me 5 wacha wasi wasi

Walidai tuko nnje
Kumbe tuko inde inde inde
Walidai tuko nnje
Kumbe tuko inde inde inde

We washa we washa tu 
Kumbe tuko inde inde inde
We washa we washa tu 
Kumbe tuko inde inde inde

Bazenga niko area ka umbwa koko
Nina nyoka ndani ya toja kolombo
Ukifika ligi niko ndo utaknow bro
Kuna vitu siwezi fanya ata nikiwa kwa ndoto

Ka kuchoma mboto
Kutaste vodoo 
Kunyimana lolo
Na kudim kikolo

Step out all black ka blade na zoro
Wasanii bani tushawatoa kwa soko
Kiset na ukipuff na ukipass bila zogo
Undercover nishachora form jo ka kilogo

Goro tupu hapa hakuna copper nani
Alinishuku ati nilimwaga ndani
Plan A hurricane, plan B tsunami
TK nasongaga na kijeshi flani

Nipe, nipe nipe puss
Nipe, nipe nipe puss

Class 5 science ilikuwa na njaro
Kutuonyesha vagina ndani ya daro
Mode ameweza kivako
Mini ingine naona hiyo mtaro

Uko na thithi kwa bonemarrow
Aftersex kucuddle ka wheelbarrow
Stori zangu za miti hazikuwangi chocha
Nahitaji orenting kisa upate coma
 
Alenjendro mister bakora
Uliza obako alikuwa golfer
Chuo za kumi tao hukuwa na aroma
Aroma ya kishada, aroma ya kishada 

Walidai tuko nnje
Kumbe tuko inde inde inde
Walidai tuko nnje
Kumbe tuko inde inde inde

We washa we washa tu 
Kumbe tuko inde inde inde
We washa we washa tu 
Kumbe tuko inde inde inde

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Inde (Single)


Copyright : (c) 2019 TK Entertainment.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BREEDER LW

Kenya

Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE