Chorea Lyrics
Nimekam na maboy wamethera
Nimekam na maplug wanajua the wera
Na mangeus wanatafta wera
Wamejua masponyo wako in the area
Cheki anavyoekelea
Itabidi manzi ameekelewa
Shrap imeendelea
Buda ni injili utapokea
Cheki anavyoekelea
Itabidi manzi ameekelewa
Shrap imeendelea
Buda ni injili utapokea
Nishaingia bash na geng kwa boo
Na mabous zao zina tint dye du
Ka ameshika, ka amejipa
Melete karibu tuwashe kindukulu
She want a man with a bima
She want a man -
For Henny in her behind
Mwagakeko mangues wote wanajiringa
Kwa bash sidai ajibaba
Ngwai stori za mangeus sahau biz baba
Bonga mob haikuwa chini baba
Kama judge walitip iwa utatii baba
Cheki anavyoekelea
Itabidi manzi ameekelewa
Shrap imeendelea
Buda ni injili utapokea
Cheki anavyoekelea
Itabidi manzi ameekelewa
Shrap imeendelea
Buda ni injili utapokea
Nimekam na maboy wamethera
Nimekam na maplug wanajua the wera
Na mangeus wanatafta wera
Wamejua masponyo wako in the area
Irony walidhani yote ni ndoto
Walidhani hao mabulldog na hao ndio makoko
Hadi Uganda sai tunashiba
Mi mskinny na vile mi hudinyanga hawa watoi wanono
Nilianza na jam vybz Kartel
So usiogope kunichallenge dance madam
Shika miguu alafu udance madam
Shika miguu alafu udance madam
After mi I swear madam
Hawa mambleina unachillingi nao utachorea
Hii mboko ni something rare
Inafanyanga kazi hata nishachorea
Yeah cheza chini baba
Uko mbele ya ma obb na masling baba
Yeah cheza chini baba
Uko mbele ya mapang na maslayqueen baba
Nimekam na maboy wamethera
Nimekam na maplug wanajua the wera
Na mangeus wanatafta wera
Wamejua masponyo wako in the area
Cheki anavyoekelea
Itabidi manzi ameekelewa
Shrap imeendelea
Buda ni injili utapokea
Cheki anavyoekelea
Itabidi manzi ameekelewa
Shrap imeendelea
Buda ni injili utapokea
Nimekam na maboy wamethera
Nimekam na maplug wanajua the wera
Na mangeus wanatafta wera
Wamejua masponyo wako in the area
Cheki anavyoekelea
Itabidi manzi ameekelewa
Shrap imeendelea
Buda ni injili utapokea
Cheki anavyoekelea
Itabidi manzi ameekelewa
Shrap imeendelea
Buda ni injili utapokea
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Chorea (Single)
Copyright : (c) 2019 AD Family
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BOUTROSS
Kenya
Boutross Munene is a Composer/Producer/Rapper from Kenya. Boutross is from the AD Family a kenyan sh ...
YOU MAY ALSO LIKE