Home Search Countries Albums

Chuma Ilale Ndani

BREEDER LW Feat. BOONDOCKS GANG

Chuma Ilale Ndani Lyrics


Yeah, eey, eey
Wacha chuma ilale ndani
Breeder, Boondocks Gang eey

Ukishindwa kuwinda, subiri mzoga

Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani

Kijana hatari mi silalangi kwa kazi
Na stamina mi ninayo ka ya jini
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani

Wacha wacha chuma ilale ndani
Nateka ngeus wa Getho ama Wendani
Chapa ilale we lalisha huko ndani
Tangu uhururens siku hizi mamkoba ni wengi
Tangu when siku hizi mambleina ni wengi
Tangu lolo siku hizi wamlambez ni wengi
Tesa jo hiyo turi kishenzi

Hadai lolo yeye anataka chuchu
Hadai kudarwa yeye anataka munju
Free Bunton yeye anataka Buju
Penda yeye kwa sana majuju
Ilie ndani mangeus madudu

Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani

Romour has it ati Breeder hupenda nginyo
Design ya radi nikichapa si ni kifo
Na mi hodari, me huichapaga na finyo
Na hapa Nai si madem we hupendaga fimbo

Na kwanza ngoja, amefika kejani
Mtoto si ana tako utadhani amebeba meli aah
Nampiga lugha si unajua yaani ngeli
Punde sio punde tusharuka kwenye bedi aah

Ooh Lord, ooh Jesus, oooh Breeder
Mi huitwa Zaddy saa zile nashughulika aah
Mi huanga rapper na leo nimebadilisha
Naleta vibes Old skul ka za Issa
Na magizani ndio bado me huzama Diva
So if am on it na promise naleta fever
Hii key shingoni am sorry hii key huumiza
Narudi tena na tena sitakuficha

Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani

Nikiitiwa ikus me hukam ngware 
Nimejipin makondiko staki jakadale
Na si za Gava aki walai nimetoboka mware
Wamnyonyez we inama wacha mohahe
Kam na mabeshte, kutu ka hii inataka six sum
Si kimapepe me si nice ukinishika
Leta kamenje nirecord nieke Insta
Kadem karembo nimekamanga stori kwisha

Ilale ndani hatare na  haitambui giza
Ukae rada kama peddy chuma itatapika
Ujuzi mwingi nina ngwati kama GB sita
Noma nyeusi ashatii na akawika tiga

Mtoto alilia wembe sai anataka chuma
Inawasha hadi anajikuna
Nimhepeshe kejani magizani
Achachishe watii majirani
Hakuna haja ya ubani me sidhani
Niko boost nina tools na majani
Ni uduu mkilalisha ni utani
Nichome tire nisafishe na ubani

Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani

Kijana hatari mi silalangi kwa kazi
Na stamina mi ninayo ka ya jini
Wacha wacha chuma ilale ndani
Wacha wacha chuma ilale ndani

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Chuma Ilale Ndani (Single)


Copyright : (c) 2019 TK


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BREEDER LW

Kenya

Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE