Home Search Countries Albums

Hakuna Chorus

BREEDER LW

Hakuna Chorus Lyrics


Yeh, ahuh
YO Kobra, Bazengaa
Ka si ganji sibongi pole
Mrazi pigwa ndole

Sijai ogopa compe, me si bro ya pozzeh
Msupa mrembo mnasty na sauti tamu catchy
Sijai enda date ya java nikistep condiko lazima
Kobra, sumu ninayo

Nilikua nataka kuwa surgeon
Nikapata B+ mao, nikapata C+ bio
Sa me ni doctor love, gyalis, fisi all the above
Ata nikose sikopi, ata wabonge sikomi

One on one si combi, top striker Francesco Totti
Truth or dare, truth or dare, nishai tekanga Azziad
Breeder ni Pele, Maradona nyi ni Eden Hazard
Hiphop me ndio gwiji, MVP na kingpin
Unaeza uliza Willis, wabebwe kwa TV

Vile nashine mwangaza ningekua bulb ningemada tokken
Cheki stats na cv, numbers going crazy
We uliacha na day 1, sisi bado huifanyanga daily
TK keeps on rising, huskii nasaka wifey
Saa hii nasuka Femi, atawezana kweli

Geuza kumi soh, geuza thao mita
I was born to do this nilikua naroga nikiwa foetus
Crown ni nzito sana, si naumwa na kichwa
Labda nidunge berret alafu clarks chorea ma sneakers
Link up with dem killers ,wajanjez wao huniita genius

TK ,TK ,TK
We booming kwa speakers
Si ni dynasty, ahuh
Hii ni banger G, ahuh
We unaongoja chorus, ahuh
Hapa hakuna chorus, ahuh

Nikiroga kila kitu bora useme tu, ahuh
We unasema tu, ahuh
Ye anasema tu, ahuh
Wale waseme tu, ahuh
Nyinyi mseme tu, ahuh

We unasema tu, ahuh
Ye anasema tu, ahuh
Nikiroga kila kitu bora useme tu, ahuh
We unasema tu, ahuh
Ye anasema tu, ahuh

Siku hizi nacheza chini niliachanga pupa
Wazing huniita Bazu wasupa huniita buda
Daddy daddy nikiitika, can I ask you something
If I let you tap it, will I be your wifey
Manze jo sidhani, I'm never getting married

Me and fam we solid sipping slow we so lit
Zoza jo vi ngori mission siezi forfeit
Bora kuna profit me sigeuzi topic
Na ju sipendi wasoro, kuwa celeb ni boring
Ka si studio, touring niki drip ni godly
Kama weezy 06, style yangu ni mbichi
Chunga sana cause we coming we utakosa kiti

Si ni dynasty, ahuh
Hii ni banger G, ahuh
We unaongoja chorus, ahuh
Hapa hakuna chorus, ahuh

Nikiroga kila kitu bora useme tu, ahuh
We unasema tu, ahuh
Ye anasema tu, ahuh
Wale waseme tu, ahuh

Nyinyi mseme tu, ahuh
We unasema tu, ahuh
Ye anasema tu, ahuh
Nikiroga kila kitu bora useme tu, ahuh

We unasema tu, ahuh
Ye anasema tu, ahuh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Bazenga Mentality (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BREEDER LW

Kenya

Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE