Home Search Countries Albums

Uhh Uhh

MATATA Feat. WAKADINALI

Uhh Uhh Lyrics


Nikona meme ya kila situation
Wacha na durag we funga leso
We kula vako niko vacation
Chuki ni mateso
News kwa mpasho gazeti nation
Imformer ameleta information

Arif si muislamu ni tissue hana
Hutaki salamu we si rihanna
Cheki tuna set
Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh
Drowning in my sweat
Luku luku luku
Kapienga figure eight
Nduku nduku nduku
Manjege wanatushuku
Hawajui tume kula mbuku
Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh
Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh

We unakula mchele ya plastic me navunja niche saunya za last year
We unakula mchele ya plastic me navunja niche saunya za last year
We unakula mchele ya plastic me navunja niche saunya za last year
Ati si huyu ni mungu wuzu? Hapana
Huyu ni man a badman bazu kamili
Nilikuwa tu na sitini
Wakanipungazia hadi hamsini
Angalau bronx na cuzo new york
Brooklyn anawakula tifing
Sare hata commercial sikuhizi
Anadunga whole street

Mi usicall bila pesa
Unless unanicall kunipleasure
Sidechick hajanyesha
Already ashanipea pressure
Bitch anadai baecation
Snitch anadai mutation mi nalack motivation
Puff pass nitoe tension ssshhh
Intentions
There are things I won’t mention
Ju sina meme ya hiyo situation
Leo I might keep on the low
But kesho nita address nation
Kenya sikuaizi kuna matata
Wanavuka border vile wanataka
Wao hucome kuchafua
Wana acha mkiokota taka taka

Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh
Drowning in my sweat
Luku luku luku
Kapienga figure eight
Nduku nduku nduku
Manjege wanatushuku
Hawajui tume kula mbuku
Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh
Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh

Ka umechoka kuniona aha aha change hio view
East ukiwa msick utapona wapi Bellevue
Ulijuaje na support blues? Juu ya venye uko ma c dude
Na staki ku sound rude mu hua sidishi ma sea food
Nike stuu sionekani streets kama bump za Nairobi
Monday blues si huzikilingi na bumpy rides za mushogi
Ma red eye na bado sioni but still na feel euphoric
Mamanzi wa boring plastic everything ni ka kenpoly
Luku fisa imoi tunaipiga za ki bouje bouje
Walking duvet kubwa kubwa jackets kuficha bunde
New kwa class na pull up na ski mask inakua cheki huyu stude
Luku ni fisa, luku ni stima, luku diriba yoh

Whose dat yout spin that coupe
Kila choche tuna pita tu
Ruka juu, ya fence we coming
Never catch an L am running
Buda ali kaka kaka kaka kaka kaka
Ka kangwa
Brand new weed
Check my speed
Boy in blue walishika boys wangu nilimcheki kwa news
Boys ana beef na mimi juu dame yake hunitunianga nude

Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh
Hush hush hush
Ssshh yeah

Think twice buda talk less
Hii si bitching contest
Kuna deal naivisha
Ikijipa ntalipa
Buda save hiyo nonsense
They say I’m corny
Juu nilisema pesa ndio hunimake horny
They still wanna con me
They still wanna call me
Niwapee show na bei ya jioni
Hiyo pia ni maoni
They think they know me (nigga)
Don’t you try me

Waambie tuna drill hadi tutoboe
We una dream chunga usikojoe
Ngwai nai dim ndo wasikohoe
Tumia ganji ndo ikuzoee
Bitch nigga enda wakupodoe
Dis nigga huwezi kuni avoid
Huwezi fika wacha kuji enjoy
Tukimshika umkatekate
Tukimkosa tunachinja paka yake
Ni nini hio inafichangwa kwa puffer jacket
Hustle mpaka mathe apate shake yake
Wife sio bleacher chakalate
Sidechick mu whicha wacha nonsense
Ngwa tinga washa sanse
Scar si huringa so si umuwache

Nikona meme ya kila situation
Wacha na durag we funga leso
We kula vako niko vacation
Chuki ni mateso
News kwa mpasho gazeti nation
Imformer ameleta information

Arif si muislamu ni tissue hana
Hutaki salamu we si rihanna
Cheki tuna set
Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh
Drowning in my sweat
Luku luku luku
Kapienga figure eight
Nduku nduku nduku
Manjege wanatushuku
Hawajui tume kula mbuku
Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh
Uhh uhh, uhh uhh, uhh uhh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Super Morio (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MATATA

Kenya

Matata is a group of dancers/artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE