Home Search Countries Albums

Gin Ama Whiskey

BREEDER LW Feat. MEJJA

Gin Ama Whiskey Lyrics


Utakunya gin ama whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser)
Utakunya gin ama whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser)
Utakunya gin ama whiskey? (Gin)
Gin ama whiskey? (Gin)
Utakunya gin ama whiskey? (Gin)
Gin ama whiskey? (Gin)

Yoh aah
Niko maji ka spongbob na stargat
Tabia zilifanya motto wa chama akiwa nacada
Beer moja andas njugu karanga
Bado uko soba tumekunywa tangu jana
Kitendawili? (tega)
Kitendawili? (tega)
Glass yangu inakinywaji bila chaser
Munakunywa nini? Gin ndo inaweza
Alfu waiter weka vodoski kwa meza
Na sina cash naweza lipa na mpesa?
Ngaleta fine whiskey, ngaleta chaser
Ngasema napenda watoto ngawesa
Don’t drink and drive that’s a wrong thing
But ni german machine iko kwa parking
Designated driver pia aki maji
Nasiwezi lala mbukla ama kwa lodging

Gin ama whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser)
Utakunya gin ama whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser)
Utakunya gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey? (Gin)
Utakunya gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey? (Gin)

Ukiniona niite chairman (chairman)
Pewa mbili
Ukiniona niite muhesh (sema muhesh)
Pewa mbili
Tunaanza polite na mvinyo
Tukiteremsha na kamino
Nikilewa me hukua single
Kunywa pombe tuanze kumingle
Ka akuna tambla tunatumia vikombe
Ka akuna vikombe tunatumia mikebe
Lazima tulewe, itunice ndo tupige makelele
Aah leo nikutingika, nikulewa leo nikudingika
Tafuta za uber, usijali mzinga nitanunua
Tunapiga sherehe usiku mzima adi tuone jua
Niko na swali niulize? (eeeh)
Ni ulize? (uliza)
Niko na swali niulize? (eeeh)
Ni ulize? (uliza)
Ni nini ukikuywa lazima ukunge sura ? (shots shots)
Munataka mzinga ama munataka shots? (shots shots)

Mutakunywa Gin ama whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser)
Utakunya gin ama whiskey? (Gin)
Ladies say hey ukina tipsy, (hey)
Na unataka chupa moja ama mbili (mbili)
Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser)
Utakunya gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey? (Gin)
Utakunya gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey? (Gin)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Gin Ama Whiskey (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BREEDER LW

Kenya

Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE