Omoka Lyrics
Nasaka maganji niomoke
Nasaka maganji niomoke
Shida za pesa zinitoke
Watu wabonge niwatoke
Nasaka maganji niomoke
Nasaka maganji niomoke
Shida za pesa zinitoke
Watu wabonge niwatoke
I just wake up easy mbali
So kama si ganji buda songa mbali
Usicheze nami ju nimejihami
Na mbogi hatari toka Ungwaro ndani
Like yeah mirror mirror on the wall
Can you tell me who is the realest of all yeah?
Nitaomoka nijaze kwa pori madoh yeah
I be overworking on a daily
So if you owe me money better pay me, pay me
Never play me lipa deni
Ama uchore cheque tukutane kwenye benki
Nasaka maganji niomoke
Nasaka maganji niomoke
Shida za pesa zinitoke
Watu wabonge niwatoke
Nasaka maganji niomoke
Nasaka maganji niomoke
Shida za pesa zinitoke
Watu wabonge niwatoke
Nasaka maganji cheki buda
Sipendi utani mi ndio king mtaani
Cheki wasee wanachana majani
Nachana mistari niko na ngeus kejani
Ana mabeshte mabani that's not funny
Kama ni game sidhani hata hawezi kubali
I'm two times in the row
They call me Aga the doh
-- for sure we killin the show
I got the sauce I'm up in all the stores
Christian Dior Dior
Nataka maganji bro, nasaka maganji more
Nasaka maganji niomoke
Nasaka maganji niomoke
Shida za pesa zinitoke
Watu wabonge niwatoke
Nasaka maganji niomoke
Nasaka maganji niomoke
Shida za pesa zinitoke
Watu wabonge niwatoke
Wera imejipa kazi napiga ndo niomoke
Mtashindaga mkingoja nisote
Ruaka niko na ka hectare
Hater nini utasema? Buda unastammer nikihema
Chimney niko kwa chamber young na niko famous
Cheers bila glass niko kwa class yangu tu
Vile nafanya hawawezi du, watu wananipenda huwezi niboo
Style ni mbichi brand new ngoma inaskizwa na watu
Cheki na vile nakam thru' beat ni mbaya na siko juu
Hakuna kupoteza muda -- nakuta ya Huddah
Soldier napanga yakuza nich hatupendi ma Judas
(Yeah Drisa)
Nasaka maganji niomoke
Nasaka maganji niomoke
Shida za pesa zinitoke
Watu wabonge niwatoke
Nasaka maganji niomoke
Nasaka maganji niomoke
Shida za pesa zinitoke
Watu wabonge niwatoke
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Omoka (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KAWANGWARE KINGS
Kenya
Kawangware Kings are artists from Kenya made up of Lynclint King and Luhyaballer. ...
YOU MAY ALSO LIKE