Soul Lyrics
Yoh can you pass me the lighter okay
Oh I got it I got it yeah yeah aye
Shida ni sinanga patience
Na shawty anapendanga attention
Vile hii vibe Ina tension
Relation ilianza na erection
Haoni vile bouti anaroll na Mary ako kwa rotation
Haoni vile bouti anakaa na anacheza na mangeus
Anacheza na ngeus wana mbesha
Tena huyo plug alitemwa
Kafanya maboy wakatokewa
Lakini alikosa mtu wangu ata
Kama alikuja kwa keja ndenga
Hawa mangeus ndio network
Vile wanatrap from keja to keja
Watu hushinda wakiniuliza
Bouti mbona we huogopanga hao mandenga
Nani hukaanga na less
Nani hukuaga na secrets za bobby na tally na beth
Nani hutoka kwa cell after first call ya arrest?
Buda ule ngeus nilikuwa napiga kumbe sponsor OCS
Ngeus alitry kuhepa kumbe boss alimtrace
Maboy wako nao wa malocks wako stocked na hawako tensed
ngeus asharombosa ashasoma ashatext
Ati walimchocha ati ngeus ako blessed mi nishawasoma
Ju Stori huanza na kitu safi
Kwanza mlipatana pizza inn
Mdomo inatoa tu mavi madam
itabidi ucheze na Listerine
Ju stori huanzaga na kitu safi
Mpaka ujipate umegenya please
Buda hizo stori ni gani kuwa rada
Ukibonga mbele ya ndenga please
Shida ni sinanga patience
Na shawty anapendanga attention
Vile hii vibe Ina tension
Relation ilianza na erection
Haoni vile bouti anaroll na Mary ako kwa rotation
Haoni vile bouti anakaa na anacheza na mangeus
Anacheza na ngeus wana mbesha
Tena huyo plug alitemwa
Kafanya maboy wakatokewa
Lakini alikosa mtu wangu ata
Kama alikuja kwa keja ndenga
Hawa mangeus ndio network
Vile wanatrap from keja to keja
Watu hushinda wakiniuliza
Bouti mbona we huogopanga hao mandenga
Don’t answer the phone (Don’t answer)
Someone telling on you ,whos got the control?
They selling they souls, your sales running low
You jumped overboard, Im fresh off a boat
Its not what you know, its who you know
Who do you owe? They collecting the toll,
They watching you move, lil homie got scooped
They run up in the stu, its cold outside
Niggas switching sides, you could get vooshed
Ukitokwa na guy look him in the eye
And set him for you (Set him for you)
Trust nobody but the feds and the stacks
Play with me imma get you’re ass back
Getting my money and banging that shrap
Shida ni sinanga patience
Na shawty anapendanga attention
Vile hii vibe Ina tension
Relation ilianza na erection
Haoni vile bouti anaroll na Mary ako kwa rotation
Haoni vile bouti anakaa na anacheza na mangeus
Anacheza na ngeus wana mbesha
Tena huyo plug alitemwa
Kafanya maboy wakatokewa
Lakini alikosa mtu wangu ata
Kama alikuja kwa keja ndenga
Hawa mangeus ndio network
Vile wanatrap from keja to keja
Watu hushinda wakiniuliza
Bouti mbona we huogopanga hao mandenga
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Soul (Single)
Copyright : (c) 2020 AD Family.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BOUTROSS
Kenya
Boutross Munene is a Composer/Producer/Rapper from Kenya. Boutross is from the AD Family a kenyan sh ...
YOU MAY ALSO LIKE