Home Search Countries Albums

Omoka Lyrics


Buda juu nime omoka
Nikipita kwa njia ondoka(Ondoka)
Daily na ball na mogoka
Ju nimekafunga ka locker(Locker)

Vera anaringa na planyo
Iza jo nimetambua Kwamboka(Kwamboka)
Bado unacheza na bano
Nipate Casino mi huchezaga poker(Iyee)

Hii pesa imeniweka mbele
Ndani ya gari so mi kadere(Kadere)
Unaringa na venye uko nyuma
Naeza kutuma na nisichafue Puma(Puma)

Msupa anaitwa Auma
Nilikuslice na nikakauma(Woo)
Kumbe hupendaga chuma 
Alijinice, ye hufanya nanuna(Nuna)

Ati Vk anapenda your swag(Swagga)
Mi baby napenda hiyo nyuma
Niko na pesa kwa bag 
Na zinaweza kutibu hapo mahali unaumwa(Umwa)

Usiku ye hapendagi giza
Ndio maana mi hu-pullup na pizza
Kindom kiwake 
Alafu mastar unanimaliza

Ju shot napiga ka chweza 
Buda ju nimeomoka
Na fare silipagi chweza
Uber ju nimeomoka(Omoka) 

Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka(Omoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka(Omoka)

Buda ju nimeomoka(Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka(Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka(Yeah yeah)

Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka(Omoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka(Omoka)

Buda ju nimeomoka(Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka(Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka(Yeh yeh yeh yeh eey)

Mi swagga ni ngori nakunywa madem
We ni upige thafu uomoke
Toka tupate pia sisi toko yetu
Tuliacha kutrap huko kwote

Vile tuna press more kama doom
This end of topic maroaches
This is win and loses
Street tunahawk tukitake 
Lots of risks for the bosses

East napumzika fiti
Nika nimelala jela zote Embakasi
Rap mi ni mzazi 
Still, si ndo huponanga 
Milingo yote za wasafi

Mi hulala same ka kitambo
Mzee mzima siwezi kuwa mrazi
Niliambiwa mi ni savage
Kupanda stage na njumu za designer 
Store zote nina wafuasi

Last victim kwa crime 
Kitu waliona ni mashetani
Ju tulimkula, hashtag excellent
Ilikuwa perfect timing

Eastlands mahali tunaishi
Parents wanaburry their kids
Venye madem wako build these streets
Memories zinanipea tease

Promoter alielewa kwa sana 
Mi huwanga mavitu za kupunguza mastress
Naskia show ilikuwa lit
Hata after kuunguza hiyo event

Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka(Omoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka(Omoka)

Buda ju nimeomoka(Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka(Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka(Yeah yeah)

Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka(Omoka)
Na bado ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka(Omoka)

Buda ju nimeomoka(Nimeomoka)
Buda ju nimeomoka(Nimeomoka)
Nasema ni kweli nakunywa madem
Buda ju nimeomoka(Yeh yeh yeh yeh eey)

Yeah eey, buda jo niliondoka(Ondoka)
Nina shawty anadai bakora(Bakora)
Skimbi kumbe ako mboka 
Dem aliniitia wakora

Pull up kejani
Ati ye huchill tu mtu mmoja(Mtu mmoja)
Buda nishashusha toja
Kumbe ukichinda maball itoka, buda niliporwa

Mtaani noma(Mtaani noma)
Bouty ilibidi nimesoma(Soma)
Vile nitalindaga boma(Boma)
Hata ka mi nimekonda

Mi hukula zenye zimenona(Nona)
Nikipata mboka naomoka(Omoka)
Huwezi nipata kwa corolla(Eey)
Buda always niko working

Nyi mnacheza mi niko kazi eey
Shingo ukitembea mtaani
Hapa ni ngori maboy wako lucky
Eey mi niliachana na jaba

Mi na mogoka hatupatani eey
Bouty siachani na jani
Hata kama huwezani eey
Ita maboy wa NACADA

Vile nawasha hizi vichaka eey
Mi ni boy wa Wakanda
Sistuki na stori za mboka
Mboka mboka eey(Kama ni ngori)

Mapetco, 
Ndio bani akibonga nalet go
Pah pah, mateso
Mabeast wakora wa ghetto

Shah shah,kwa kettle
Napika chang'aa ndani ya rental
Ni mapepo
Snitch alibitch akakangwa hadharani kwa esto

Mi nimeomoka
Pussy niggas wanapenda kuchocha
Nakumbuka matha akienda kukopa
Hii si riba nilichoka kusota

Fuck them, walibonga mengi
Nilipofika baze wakaondoka
Hapa Kenya huku hakuna wera
Ka unasaka hela mpaka Doha

Na vile maskele hujipa kwa rende
Siku hizi jo mi nimeogopa
Nilibambwa na jenge ju ya tire
By jioni nilikuwa nimetoka

Alah wakbar, wanabonga mengi wana lack bars
Mi ni donga nyinyi ni marap fans
Mnaona ni nini hardwork does
Toka lini mimi Scar na work fuss

Eey aah uuh, hivyo ndo nahisi
Usidhani kuishi na ego ni rahisi
Hamjastruggle ka dingo wa maiti
Tulianza juzi nyi mlishindwaga nightshift

Eeey we can never hype
Nikikuona naona kijana you are lie tu
No wonder ulihandwa walai ju
Even when you are dead bad does never like you

I swear this purpose they know us
Tungewazoza ni vile ilifikaga 
Mahali we needed to grow up
Kwa most of my brothers they locked up

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Omoka (Single)


Copyright : (c) 2019 AD Family Kenya.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BOUTROSS

Kenya

Boutross Munene is a Composer/Producer/Rapper from Kenya. Boutross is from the AD Family a kenyan sh ...

YOU MAY ALSO LIKE