Home Search Countries Albums

Shemeji Lyrics


Kwanza kwenye hio posa umeweka dollar hee
Au vibokoboko
Tutanunulia nyanya na kuku chora
Kisha uondoke mikono mitupu

Si unaona dada nguvu yenye amenona
Mrembo na tena msupuu
So kuwa mwangalifu mi nakuonya
Mi nakukanya wee

Utapochezea dada yangu utapata taabu
Kwani dada yangu sio changu ni mstaarabu
Atakapo tokwa chozi shingo yako halali yangu
Kwanza kwetu twataka dollar
Bugatti, Ferrari na sio Corolla

So nakukanya
Kwa iyoo naomba concentrate (Naomba concentrate)
Naomba concentrate shemeji (Naomba concentrate)
Oooh naomba concentrate (Naomba concentrate)
Napo sema nawe naomba (Naomba concentrate)
Naomba concentrate

Mdekeze adeke ka mtoto
Na na adeke adeke ka mtoto
Mdekeze adeke ka mtoto
Na na iyeee

Mdekeze adeke ka mtoto
Na na adeke adeke ka mtoto
Mdekeze adeke ka mtoto
Na na iyeee (Adeke adeke)

Very serious si unaona ukiniangalia usoni
Am very serious na mapenzi nishamwekaga moyoni
Leo akitaka njenje (Pewa)
Kisha akitaka reggea mie twende (Sawa)
Adeke ajiachie abembe (Haya)

Hapakatazali la mtende
Aah we advertise
Shopping nampeleka achague kila size
Mapenzi yako hapa I should realize
When she smiles kila time she look amazing

Look at you, wee very serious
Si unaona hata ukiniangalia usoni
Sometimes naingia jikoni
Weekend hayuko home mi naenda sokoni

So nakukanya
Kwa iyoo naomba concentrate (Naomba concentrate)
Naomba concentrate shemeji (Naomba concentrate)
Oooh naomba concentrate (Naomba concentrate)
Napo sema nawe naomba (Naomba concentrate)
Naomba concentrate

Mdekeze adeke ka mtoto
Na na adeke adeke ka mtoto
Mdekeze adeke ka mtoto
Na na iyeee

Mdekeze adeke ka mtoto
Na na adeke adeke ka mtoto
Mdekeze adeke ka mtoto
Na na iyeee (Adeke adeke)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Slave Become a King (Album)


Copyright : (c) 2020 CMG


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DARASSA

Tanzania

Sharif Thabit Ramadhan's, better known as Darassa, is a recording artist, performer and songwrit ...

YOU MAY ALSO LIKE