Nyumbulika Lyrics
Vile ukinyumbulika
Nyonga zinakatika i love you mama sita
Mmmh ilekufunika kufunuaaa
Machoni pangu nikakuona wewe
Kama malaikaaah
Kweli miruzi mingi uchanganya mbwaa aa
Na dua la kuku, hali mpatagi mwewee
Siku babaikaaa aaaa
Oh baby kole kole
Baby koleza
Biliani kidogo mafutaa
Baby koleza aaa naa
Twende pole pole
Sije kuvuta
Mwishoe ukadodonsha ukataa
Nakupenda baby
Baby na kangozi
Kalosheni nakiuno kama feni
Sija rongwa niacheni
Nisha jichunguza aa
Yanii
Vile ukinyumbulika
Nyonga zina katika
I love you mama sita eeh eeh
Vile ukinyumbulika
Nyonga zina katika
I love you mama sita eeh eeh
You’re my light
Baby you’re my light
You’re my life, life
Baby you’re my life
Baby you’re my life
Napenda ukiramba gony
Nakacheni kiunoni
Mafunzo kama unyagoni
Vimechezo utoton
Oh baby ukini tomatha, nikumbataa
Hata waseme sikomiii
Mboni kitasa ndo nidha nasa wengine sionii
Baby achaniende
Nampenda sana nampenda baby
Nakangozi kalosheni kiuno kama feni ee
Sijarogwa niacheni
Nisha jichunguza mmh
Yanii
Vile ukinyumbulika
Nyonga zina katika
I love you mama sita eeh eeh
Vile ukinyumbulika
Nyonga zina katika
I love you mama sita eeh eeh
You’re my life, life
Baby you’re my life
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nyumbulika (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
BONGA DE ALPHA
Tanzania
Bonga De Alpha is an artist, music producer and songwriter from Tanzania ...
YOU MAY ALSO LIKE