Magetoni Lyrics

Rafiki zako wanapenda soga
Na story mbaya
Nasikia unaniponda
Eti mi ni mbaya
Maneno niengi nasikia
Mengine kunizushia
Michongo kunibania
Wanateseka wanaumia
Hata nikipata kabia
Wanaaona nawavimbia
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni tu
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni tu
Kubebabeba lawama, kwetu kawaida
Unaweza kuitwa mwizi hata kama hujaiba
Tulishapata hasara kabla ya faida
Na rizki mungu akitoa wanapanga kubiza
Oyah no ama
Uliza mwanamboka kwenye kona
Niko na wanangu wa sembe dona
Puff puff moja tunachoma
Billnass billnass
Maneno niengi nasikia
Mengine kunizushia
Michongo kunibania
Wanateseka wanaumia
Hata nikipata kabia
Wanaaona nawavimbia
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni tu
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni tu
Oya wanangu wa geto
Tujidai tujidai
Kwani nani anatudai
Oya wanangu wa geto
Tufurahi tufurahi
Kikubwa uhai
Oya wanangu wa geto
Tujidai tujidai
Kwani nani anatudai
Oya wanangu wa geto
Tufurahi tufurahi
Kikubwa uhai
Maneno niengi nasikia
Mengine kunizushia
Michongo kunibania
Wanateseka wanaumia
Hata nikipata kabia
Wanaaona nawavimbia
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni tu
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni
Kisa magetoni
Mi motto wa magetoni tu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Copyright : (C) 2024 Billnass, Directed by Niclas & Audio produced by S2kizzy.
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE