Home Search Countries Albums

Cold

BIG YASA

Cold Lyrics


8-Side Westside
Mad Clan Mad Clan

Yoh listen
Hizi streets sometimes ni cold
Lazma ukuwe jo hard and bold
Mafriends mabitches hufold
Kuna story haziko told
Nilikuwa this close ku lose hope
Mlowkey ilienda coast
Kuna highs na kuna lows
Ni cold ni cold, ni cold

Hizi streets sometimes ni cold
Lazma ukuwe jo hard and bold
Mafriends mabitches hufold
Kuna story haziko told
Nilikuwa this close ku lose hope
Mlowkey ilienda coast
Kuna highs na kuna lows
Ni cold ni cold, ni cold

Hao mapeng wote wananimention
Sa nitajibu aje hio question
Ushaishikwa kweli na tension
Umeshikwa na maherpe manze uko station

Hizi sides maboy hugo mental 
Hatujui manze ni kwa nini
Wao wamejishika ndimi
They think manze am a child

Mi siongei na masolai
Davaji si tuko sure mabro wataride
Ilikuwa noma jo walahi mum used to fly Dubai
Call them all we live tonight
Sina manzi sina wife, bro alikura alifly 
Hayuko area jo my guy

Hizi streets sometimes ni cold
Lazma ukuwe jo hard and bold
Mafriends mabitches hufold
Kuna story haziko told
Nilikuwa this close ku lose hope
Mlowkey ilienda coast
Kuna highs na kuna lows
Ni cold ni cold, ni cold

Hizi streets sometimes ni cold
Lazma ukuwe jo hard and bold
Mafriends mabitches hufold
Kuna story haziko told
Nilikuwa this close ku lose hope
Mlowkey ilienda coast
Kuna highs na kuna lows
Ni cold ni cold, ni cold

Adeal adeal adeal, adeal mara y adeal
Sir Peters hukefin, what's wrong with you Yassin
Yeah she spend, she sniff some white
Do you think your kid should mind
Nah she woun't walai, some of this things siezi decide

Pengting flani jo ana-up
Come and do for dirty the dancer
Showed my nigga how to flip it
Now he is running up them digits

Am so proud you are not my mrs
When it starts unakuwa a seedling
Unagrow unakuwa a big thing
Huyu ni ule kijana indiscpline

Alikuwa anasumbua jo system
Am gonna make mulla with singing
Itafika time I stop this scene
Hauko kwa fields hauna hata chills
Haupay mabills so hauwezi feel

Grand yangu anapay for we
I was raised up with a gee
Am just a G

Hizi streets sometimes ni cold
Lazma ukuwe jo hard and bold
Mafriends mabitches hufold
Kuna story haziko told
Nilikuwa this close ku lose hope
Mlowkey ilienda coast
Kuna highs na kuna lows
Ni cold ni cold, ni cold

Mad clan mad clan

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Cold (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BIG YASA

Kenya

Big Yasa is a rapper/driller from Kenya a member of Madclan crew based in Kibera. ...

YOU MAY ALSO LIKE