Twende Sana Lyrics
Lemario
Kwa Lemaa mara ya pili nimekuja kuzitoka
Si unajua vile mi hufanya ikikuja kwenye beat
Twende sana twende sana, shika dem kwenye haga
Twende sana twende sana, washa nare zimewaka
Mkoba wangu mwalalo alinitoka ye malaya
Niko handas usijali usichukulie kwa ubaya
Zikishika zimeshika mi nabonga..Aaah
Ah flex, watu wangu wako tizi
Cheki round this manze boss tuko bizi
Everywhere we go unajua ni injili
Mtoto akidai mjos weka mara mbili
Ah, nimechangamka
Fat Boy Gwaash tunakalasua
Ukishapanda unavuna
Cheki hizo jegi na mahaga ua
Twende sana twende sana
Baby girl chora saba
Twende sana twende sana
Baby girl we inama
Twende sana twende sana
Tumekuja kujibamba
Twende sana twende sana
Twende sana twende sana
Baby girl chora saba
Twende sana twende sana
Baby girl we inama
Twende sana twende sana
Tumekuja kujibamba
Twende sana twende sana
Toka teke, toka siaka
Toka riadha si unajua mi ni badman
Cheki shatta, cheki rasta
Ukinicheki utajua mi ni shrapper
Toka teke, toka siaka
Toka riadha si unajua mi ni badman
Cheki shatta, cheki rasta
Ukinicheki utajua mi ni shrapper
Mgenge halisi nimekuja kuwapasha
Sio siri cheza chini, hii ndio rada
Juzi nilikuwa maji, wakadai kunitoka
Jo hao ni mafala, mavidevu na viding
Nimeivisha kuwakata
Si uulize pale mtaa, vile mi huwafanya
Gwaash jina kubwa sitachoka kusaidiana
Miaka rudi miaka nenda nitabaki kuwabamba
Ikibamba toa kladi najua nimemada
Twende sana, twende sana, twende sana
Ah twende sana
Twende sana, twende sana, twende sana
Ah twende sana
Twende sana, twende sana, twende sana
Ah twende sana
Twende sana, twende sana, twende sana
Ah twende sana
Twende sana twende sana
Baby girl chora saba
Twende sana twende sana
Baby girl we inama
Twende sana twende sana
Tumekuja kujibamba
Twende sana twende sana
Twende sana twende sana
Baby girl chora saba
Twende sana twende sana
Baby girl we inama
Twende sana twende sana
Tumekuja kujibamba
Twende sana twende sana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Twende Sana (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
GWAASH
Kenya
Fatboy Gwaash aka Mr. Sponyo real name Martin Wagura (Born 1st April 1997) is a Kenyan Gengeton ...
YOU MAY ALSO LIKE