Deni Lyrics

Hahahaha...
Kaka Empire is the lifestyle
(Bern Music)
Si fulizangi ulizia around
Ni Femi, Kaka, Jadi so pandisia kasound
Sipingangi maFree so ulizia amount
Kama account iko empty basi nalimit amount
Tunablend liquor, blend Thika
Bado after this sign ya Nairobi tunafika
Ball ni kama ya Olunga ama Ben Thika
Na siuzi sura bado na mabill mi hulipa
(Uno Uno Uno Uno)
Wakikuja sura ziuzwe
Sura ziuzwe!
Ona washapandisha deni
Wakikuja sura ziuzwe
Sura ziuzwe!
Ona washapandisha deni
Wanaleta deni deni deni
Leo sihitaji deni deni deni
Wanaleta deni deni deni
Leo sihitaji deni deni deni
Wanaleta!
Ata ka hakuna ganji bana leo katanyc
Never know naeza pata future wife
Lipa tu baadae tutakatana na
Kuna dem anaizungusha ka chama
We ni mtiaji, mmmh ka Saul
Ukiniona kwa club unakaa sorrow
Nikudrown kwa chupa na kudrown your soul
Deni is that you? Huh borrows
Wakikuja sura ziuzwe
Sura ziuzwe!
Ona washapandisha deni
Wakikuja sura ziuzwe
Sura ziuzwe!
Ona washapandisha deni
Wanaleta deni deni deni
Leo sihitaji deni deni deni
Wanaleta deni deni deni
Leo sihitaji deni deni deni
Wanaleta!
Nairobi ya ma ones and dates
All sizes there is no debate
Leo tutapoteza balance
Washatumia balance
Nairobi ya ma ones and dates
All sizes there is no debate
Leo tutapoteza balance
Washatumia balance...ooh
Wanaleta deni deni deni
Leo sihitaji deni deni deni
Wanaleta deni deni deni
Leo sihitaji deni deni deni
Wanaleta deni deni deni deni
Ona washapandisha deni
Deni deni deni deni
Ona washapandisha deni deni!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Deni (Single)
Copyright : (c) 2020 Kaka Empire.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KING KAKA
Kenya
King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...
YOU MAY ALSO LIKE