Mola Lyrics
Woyo woyo woyo
Hoho
Woyo woyo woyo
Hoho
Kwetu
Sijakuta urithi kiwanja
Baba hajawa miliki hata boda
Kula yetu kwa siku ni mala moja
Nami nimesoma hata kzi sinaaah
Na mahitaji yamepanda bei
Wadogo zang wanahitaji kusomaah
Baba na mama saivi nguvu hawanaah
Mke watoto nao wananitazama
Mwenye nyumba nae anataka kodi
Mgambo wa jiji wana nifukuza load
Naomba baraka zako baba aah (mola)
Nibaliki na mimi hapa (mola)
Maisha mazuli kama wale (mola)
Nizi sahau shida one day (mola)
Usi nipite bab usinipite
Niguse na mkono wakooh (mola)
nibaliki na mimi hapa (mola)
Maisha mazuli kama wale (mola)
Nizi sahau shida one day (mola)
Usi nipite bab usinipite
Niguse na mkono wakooh
Uko kitaani majanga
Mabinti wana wanapewa mimba
Kisa vipesa vyaunga
Nani ata piga kipenga
Zime potea ndoto za utajiri
Nacho waza nikwenda mbali
Nikatafute mali niludi nyumbaniih
Wadogo zangu wanahitaji kusomaah
Baba na mama saivi nguvu kawanaah
Mke watoto nao wananitazama
Mwenye nyumba nae anataka kodi
Mgambo wa jiji wana nifukuza load
Naomba baraka zako baba aah (mola)
Nibaliki na mimi hapa (mola)
Maisha mazuli kama wale (mola)
Nizi sahau shida one day (mola)
Usi nipite bab usinipite
Niguse na mkono wakooh (mola)
nibaliki na mimi hapa (mola)
Maisha mazuli kama wale (mola)
Nizi sahau shida one day (mola)
Usi nipite bab usinipite
Niguse na mkono wakooh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE