Funga Mkanda Lyrics
Funga mkanda tucheze kwa mbwembe
Shusha nanga meli iende
Nionyeshe show za mwakinywa Vandame
Mpaka jua lizame
Washa redio, radio
Washa washa redio, radio washa
Songea kati bana nana
Sweet baby o
We ndo unanichanganya
Nikikuona napona
Ulivyo umbika mwekundu nyanya
Mafala unawakalisha kona
Eeh kwako hoi nimedada ndi ndi ndi
Nimeweka kigingi
Sijiwezi pimbimbi
Mtoto usopenda shilingi
Na ukigoli goli
Mama tekenya tekenya
Funga mkanda tucheze kwa mbwembe
Shusha nanga meli iende
Nionyeshe show za mwakinywa Vandame
Mpaka jua lizame
Washa redio, radio
Washa washa redio, radio washa
Pepe pepe pepe pepe pepeta eeh
Pepe pepe pepe pepe pepeta
Mtoto kiuno kongola
Mwendo wake kama vile adama
Ata sinema sinema, naona kama sinema
Mtoto ana mavitu yangu, nikipiga pana
Anaongea kizungu eh eh eh eh kwako hoi
Nimeweka kigingi
Sijiwezi pimbimbi
Mtoto usopenda shilingi
Na ukigoli goli
Mama tekenya tekenya
Funga mkanda tucheze kwa mbwembe
Shusha nanga meli iende
Nionyeshe show za mwakinywa Vandame
Mpaka jua lizame
Washa redio, radio
Washa washa redio, radio washa
Pepe pepe pepe pepe pepeta eeh
Pepe pepe pepe pepe pepeta
(Gachi beats)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Funga Mkanda (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE